Kwa hiyo wewe timu samia umeula? Umeteuliwa leo na ukoo wako hamtakuwa masikini tena?Najua timu jiwe wazee wankusifu na kuabudu inawauma sana, tulitoka mavumbuni tutarudi mavumbini, muhimu kuishia kwa maslahi ya umma wa Watanzania, sio kikundi Cha watu flani. Leo uyu kesho Yule, Amina.
Bado uko gizani.Siasa za mabadiliko sio lazima zifikiwe kwasababu ya kua na chama mbadala.Ukiona wananchi wengi hawajitokezi kupiga kura jua ndio anguko lenyewe.sina haja yakukutafunia kila kitu ila muda ni mwalimu mzuri,tusubiri utatupa majibu.Sisiemu itaendelea kushinda viti vya ubunge na urais bila hata kuiba kura, kitakachotokea ni wananchi wachache watajitokeza kupiga kura... bado hamna chama mbadala hapa tanzania... chadema muache kudanganyanya, faraja yenu itaendelea kuwa kuona sisiemu wanapasuana ila mwisho wa siku wataendelea kutawala hii nchi kwa muda mrefu sana...
Mabula ni wa kwetu kanda ya ziwaUnatoa mtu wa maana Kama Lukuvi kwenye ardhi alishakomesha migogoro ya kipumbavu. Mnaweka wenye upumbavu ambao wazazi wao walishindwa hata kuizuia mauwaji ya wakulima na wafugaji.
Lukuvi ni mjinga Na mdini hafai hata kuongoza nyumba 10Inaonyesha hii ndo imemtoa Lukuvi, ila alikuwa waziri makini sana
Achana na mambo ya mtu anakotoka nazungumzia utendaji wa Lukuvi kwenye ardhi. Unamtoaje mtendaji aliyejitahidi kuondoa uozo kwenye ardhiMabula ni wa kwetu kanda ya ziwa
Awezi kukuelewa kamweBado uko gizani.Siasa za mabadiliko sio lazima zifikiwe kwasababu ya kua na chama mbadala.Ukiona wananchi wengi hawajitokezi kupiga kura jua ndio anguko lenyewe.sina haja yakukutafunia kila kitu ila muda ni mwalimu mzuri,tusubiri utatupa majibu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ndio hivi yaani manaa anaacha mawaziri wa maana anateua watu wao hivyo wa kuturudisha nyyuma .2025 atakuwa na wakati mgumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Me Sina timu , ila naongozwa na sheria ya right and wrong. Huwezi Nikita nasifia ujinga kama sukuma gang. Mnaona mtu analipeleka taifa shimoni mnasifia tu, kwa kusema mitano Tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo wewe timu samia umeula? Umeteuliwa leo na ukoo wako hamtakuwa masikini tena?
Ukweli au udini?Hii kaongea lini? Ina ukweli hata hivyo...
Kundi la nani? Sukuma gang ni myth tu si kundi rasmi bali kundi lenye fikra moja. Msingi wake awali ilisemwa ni wasukuma lakini ukiangalia wanaotajwa tajwa wengi si wasukuma!Baada ya kundi lenu kupigwa chini ndio unaona umuhimu wa upinzani ? Hahahahaha haya bana