Homa ya 2025 inampelekesha kuliko hata hao anaowatuhumu.

Hapa inaonyesha anataka pa kuegemea kuelekea 2025.

Asiposoma alama za nyakati ataweka historia na kuleta rejea isiyopendeza kwa viongozi wa ke siku za usoni.
 
Wanakuweka madarakani, wanakutoa madarakani halafu wanajiweka Madarakani Waite kwa Lugha ya Polepole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauangalia huu mkeka, nikama zao la maazimio ya kongamano la kumbukumbu ya Marehemu Mzee Moses Nnauye. Maneno ya wale wazee na tambo za Nape twitter dhidi ya Polepole baada ya kongamano zinadhihiri.
 
Kwani nyie bavicha si mlikuwa mnashangilia aliposema ana mkeka mpya?

Mlifikiri mnamkomoa hayati?
Bavicha walifurahia kutangazwa kwa mkeka walidhani Mabutu wao anakuja toka Ubelgiji kuja kuwa waziri mkuu kumbe akitia mguu tuu atapewa kazi ya kukamua kuku maziwa
 
Halafu tunaambiwa vijana ni soni/aibu kukosa ajira au kazi ya kufanya, ati kazi zipo nyingi za kufanya.

Waheshimiwa wanatushangaa kusubiri ajira za serikali. Inaumiza sana.

Ni heri ya Mzee Magufuli na si kwa kejeli hizi halafu "wao" wanaendelea kupeana vyeo.

Inafika muda maskini tunataka kukufuru, kuwalaumu wazazi wetu kwanini hawakutafuta KONEKISHENI [emoji24][emoji24]


Nimezikumbuka zile nyimbo Ni mzee wangu anazisikiliza

#1. CCM Ni ile ile

#2. CCM inawenyewe

#3. Anachukua anaweka waaaaaaaa.


Sawa, Mungu wetu akiyembinguni, tunaendelea kumlilia ili siku moja nasisi tuonekane kwenye "ORODHA"

JAPO TULIPENDA SANA WATUKUU ZETU WASIPATE SHIDA KAMA TUIPATAO LAKINI NDIO HIVYO USUKANI UMESHIKILIWA NA DEREVA KIASI KWAMBA NI NGUMU HATA KUNUSA.

INAUMA,

Yote haya yatakwisha tukiwa na katiba mpya.

Katiba mpya katiba mpya katiba mpya.
 
Huna kabisa akili wewe, sasa hivi nani anaye mzuia mzungu kupata chochote atakacho ktk nchi hii wakati kwenye bakuli yeye ndiye anayedondoshamo hela.

After all, Tanzania hii ina nini cha maana cha wao kuhangaikia mbona basi nchi ni masikini hivi. Small mind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…