daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Mkuchika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😡😬😬😬😬Mwenzio anakula milion 11 per monthly alafu unamcheka huku unapiga miayo?
[emoji23][emoji23]
Wasukuma hoyeeeeeKuna watu wajinga sana eti mataga tumeumizwa na huu uteuzi kwani ungekuwa wewe ungemwacha mwanao?
Anyway alichokifanya cha maana ni kumtoa hiyo wizara ndalichako, maana dah na kingereza chake kama changu
Hana sifa za kuwa naibu waziri huyo!!Ridhiwan hana sifa?
Sababu?Hana sifa za kuwa naibu waziri huyo!!
Mama hapendi wakristo na watu wa bara!
Juzi juzi hapa eti kalienda Arusha kwa kuunguza kodi za wananchi kukagua nauli stendi akidhan katamfurahisha mHama. Kamepigwa chini Sasa. Hakuna tena drama za kisoro.
Bwahaha hahaha hahaha.
Kammmmonnn
Ulishatangulia mwenzetuMimi nasubiria kumjua wazira wa fedha ni nani ndio nianze safari yangu ya kuja TANZANIA nikitokea BURUNDI
Amina Amina! Tumesikia ubarikiweWateuliwa nendeni mkatafune nchi nawatakia utafunaji mwema
Huo ndio ukweli, hasa kwenye ardhi!! Lukuvi alionekana kuwa amewawekea kauzibe sana mafisadi na wala rushwa!! ?eo watakesha wanashangilia!! Namhurumia sana Mabula kuwekwa pale!!! Lazima afunikwe na Riz 1, akigoma anaondolewa!! mlengwa hapo ni Riz 1. Mabula hana ubavu wa kustahimili presha ya vimemo kama vya kina Kassimu, Mkwere wa msoga, Kina sa100 nk!! Kosa la Lukuvi ni kuwa hakuwa anaingilika!!! wala siyo mambo ya 2025!!!Wateuliwa nendeni mkatafune nchi nawatakia utafunaji mwema
Hata huko Marekani kina Bush waliongoza. Kunywa Maji tu mkuu utulie.Bado tuna safari ndefu sana kama taifa, CCM baada ya kututawala kwa miaka 60 wanaonesha dhahiri jinsi akili zao zilivyofika mwisho wa kufikiri. Sasa wanashindwa hata jambo dogo tu la kutafuta sura mpya zenye weledi zije kufanya kazi ya wananchi licha ya wasomi wengi waliopo.
Ni aibu kwa taifa la watu zaidi ya milioni 60 kuongozwa na sura zile zile kila awamu, huu mchezo wa kurithishana madaraka unatengeneza taifa la watawala na watawaliwa. Nawashangaa zaidi wale jamaa zangu wanaoitwa ikulu wakaimbe mipasho wakati hata wao keki ya taifa haiwahusu, hawa ndio watumwa haswa.
how?,be positive,mungu asipopanga inakuwa kama lissu tu hufi ngoo!JPM, aliondoshwa.
Amtoe na Kasim tu ijulikane.