Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
😁😁😁😁Nchi ngumi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁Nchi ngumi hii
Nchi hii ilifika mahala ukibembeleza mambo hayaendi!Angekuwa Jiwe angetuletea mpaka yale makovidi ndani. Yule mzee kitu kinaitwa busara kwake kilishagafariki dunia tangia akiwa mtoto ila yeye akaja kufariki akiwa mzee.
Samia hawezi kurudia ubabe wa Magufuli hana jeuri wala ukichaa wa level ile. CCM itaanza kupoteza viti kama enzi za JK tu.
Itawapendeza miaka mia kendaVipi kama kabudi akiwa spika? Haitawapendeza wana CCM
Ni kweli CCM ina wenyewe wa timu Msoga, na sasa imerudi huko kikamilifu. Pamoja na yote, naona mama anaongoza kwa kuangalia 2025 tu, na sijui kwa nini awe anapanicki hivyo ilihali yeye ndiye mwenyekiti wa CCM, na kwa wakati huu CCM haina mpinzani.Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
======
Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo itaitwa Uwekezaji, Viwanda na Biashara.
Ameunda Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Wizara ya mwisho aliyoifanyia mabadiliko ni Wizara ya Afya
Uteuzi (Mawaziri Wapya):
Nape Moses Nnauye - Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hamad Masauni - Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi
Dkt. Pindi Chana - Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)
Dkt. Angelina Mabula - Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
Manaibu:
Anthony Mavunde - Kilimo
Jumanne Abdallah Sagini - Mambo ya Ndani
Dr. Lemomo Ole Kiruswa - Madini
Ridhiwani Kikwete - Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Atupele Mwakibete - Ujenzi na Uchukuzi (Upande wa Uchukuzi)
Mabadiliko ya Mawaziri:
Jenista Mhagama - Utawala Bora
Ummy Mwalimu - Afya
George Simbachawene - Katiba na Sheria
Profesa Joyce Ndalichako - Waziri wa Kazi
Innocent Lugha Bashungwa - TAMISEMI
Profesa Adolf Mkenda - Wizara ya Elimu
Dkt. Dorothy Gwajima - Wanawake, Jinsia na Makundi Maalum
Mohammed Mchengerwa - Utamaduni na Michezo
Dkt. Ashatu Kijaji - Uwekezaji
Mawaziri Walioachwa
Palamagamba Kabudi - Alikuwa Wizara ya Katiba na Sheria
William Lukuvi - Alikuwa wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi
Kitila Mkumbo - Alikuwa Wizara ya Viwanda na Biashara
Geoffrey Mwambe - Alikuwa Wizara ya Uwekezaji
=====
Kwa Ufupi;
Ikulu
Mkuchika
Utumishi
Mhagama
Ndejembi
Tamaisemi
Bashungwa
Silinde
Festo
Makamu wa Rais
Jafo
Hamis Hamis
Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga
Ajira na kazi
Ndalichako
Katambi
Fedha
Mwigulu
Chande
Ulinzi
Tax
Ndani
Masauni
Sagini
Katiba
Simbachawene
Pinda
Mambo ya Nje
Mulamula
Mbaruku
Kilimo
Bashe
Mavunde
Mifugo
Mashimba
Ulega
Ardhi
Mabula
Kikwete
Maliasili
Ndumbaro
Masanja
Nishati
Makamba
Byabato
Madini
Biteko
Kiluswa
Ujenzi
Mbarawa
Atupele Mwakibete
Godtlfrey Kasekenya
Viwanda
Kijaji
Kigahe
Afya
Ummy Mwalimu
Ole Mollel
Elimu
Mkenda
Kipanga
Maendeleo ya kamii
Gwajima dorothy
Mwanaidi Hamis
Maji
Jumaa aweso
Mahundi
Utamaduni
Mchengerwa
Gekul
Habari Mawasiliano
Nape Nnauye
Kundo Mathew
Mama hapendi wakristo na watu wa bara!Juzi juzi hapa eti kalienda Arusha kwa kuunguza kodi za wananchi kukagua nauli stendi akidhan katamfurahisha mama. Kamepigwa chini Sasa. Hakuna tena drama za kisoro.
Bwahaha hahaha hahaha.
Kammmmonnn
plus ndugai. mama hataki kuucha urais ,aise kuzungukwa na maaskali jeshi ni raha aise, ikulu patamu bwana!! Ila wenye chama sidhani Kama watamuacha aendeleeSo, kumbe Prof. Kitila, Prof. Kabudi, Lukuvi, Mwambe na Waitsra ndio waliokuwa wanampa Samia joto la 2025?
Kabudi arudi jalalani kwake tu sasa
50,Mawazi 48
Huo ni ukweli mtupu!Kikwete angemwachaje kijana wake kando? Hiyo ardhi ikae sawa Sasa akimaliza mwaka atakuwa anamiliki ardhi kubwa kama Uhuru Kenyatta
Shusha dafu hilo juu ya shingo!Watanzania bhana!
Waziri atayabadili maisha yako?
amuondoe aone,kitakacho mtokea!!Safi sana mama yetu. Kula kichwa cha Majaliwa umalize kazi. Ukimuacha majaliwa utakuwa umefanya 3+2 - 5
Mbaya sana!Lukuvi kapigwa nje
Na ndo waliomshauri awapumzishe haoplus ndugai. mama hataki kuucha urais ,aise kuzungukwa na maaskali jeshi ni raha aise, ikulu patamu bwana!! Ila wenye chama sidhani Kama watamuacha aendelee
Labda wewe na familia yenu ndiyo mnaichukia! Kwanza chuki ya nini?
Lukuvi kiingereza F hawezi kuwa spikaKuna kazi kubwa sana kumpata spika, bora hata zungu kuliko lukuvi
Ni lini tuliwahi kuzingatia weledi ndani ya ccm.Lukuvi kiingereza F hawezi kuwa spika
Jeuri ya serikali hii ni PM... Ccm hawawezi bariki aliwe kichwaSafi sana mama yetu. Kula kichwa cha Majaliwa umalize kazi. Ukimuacha majaliwa utakuwa umefanya 3+2 - 5
Acha tuu ndugu yangu hao woote simu zimetembea tuu nafasi imepatikana. Madogo wakienda kwenye intavyuu mitihani wanapewa wao tena kazi kweri kweri nakwambiaNape
Ridhiwani
Januari