Huu ndiyo ukweli unaoshuhudia kuanzia kwenye dhamiri ya mkuu mshika usukani na watanzania wote kwa ujumla!! Ee Mungu utusaidie!! Tusidanganyane!!
 
Sahau kuhusu box la kura. Hii nchi haipo shwari kabisa watu wanasubiri catalyst tu wa react.

Kwa njia hii nyingine hapo sawa, sio box la kura.
 
Nchi hii bila katiba mpya tutaendelea kuongozwa na watu wa hovyo hadi mwisho wa dunia! Haka kajamaa ni kapiga dili dhahiri. Hakapaswi kupewa hata huo ubunge
La ila Kikwete jamani! Mke Mbunge,yeye mwenyewe mshahara maisha maisha yake yote,anataka na mtoto awe waziri? Loh nafuu angekuwa na uwezo basi.
 
Yaani,

1;Mavunde
2;Makamba
3;Nape
4;Ridhiwani
5;Bashe
6;Pinda chana
7;mizengo
8;

Aibu yake rais Samia Suluhu,anatafuta mpasuko wa lazima kwa chama na taifa kwa ujumla
Samia kwa kumuacha Mwigulu fedha utakuja juta siku sio nyingi! Hili ni baraza la Msoga Ndio maana Pindi Chana amepewa uWaziri sasa naona Vasco Dagama anakwenda kumsimika NCHIMBI kama spika !! Niliwaambia juu ya RIDHWANI kuwa kwenye Baraza sasa utasikia ya spika .Watch this space!! Hii ndio Cabinet ya WAHUNI?
 
Ridhiwani kuwa Naibu Wizara ya Ardhi, kosa kubwa hapa limetendeka, sijui kwanini napata wasiwasi wa huyu kijana kutofit hapa.
Wasiwasi wako tu kwani uwaziri umesikia anaenda kubeba vyuma
 

Peincelings in the making and established
 
Hii nchi ione hivi hivi!! sijui tunaelekea wapi?? Of all the people unatoa Lukuvi unaweka Riz 1 halafu tuseme maslahi ya Taifa yamezingatiwa!! hapana, tumwoge Mungu !
 
Huyu Riz one hatufai hata kwa chembe, kwanza hana uungwana,anawaza pesa tu,kipind cha maua wake alikuwa na watu wake kila sekta apa nchini,watanzania tumepingwa na kitu kizito
 
Teh teh teh teh..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...umenifurahisha sana teh teh teh teh... endelea kukitumikia chama,zamu yako ikifika utapata tu.
 
Wewe Ni kichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…