Mimi nashangaa jinsi Mambo yalivyogeuka kwa Kasi. Leo makamba, Nape na Ridhiwan ni Mawaziri. Aisee nobody knows about tomorrow. Nape alifukuzwa kisa kufuatilia sakata la Makonda kuvamia clouds.
 

Wakati wa kufanya maamuzi wananchi huona aibu. Ngoja wenye nchi waendelee kula.
 
Yaani,

1;Mavunde
2;Makamba
3;Nape
4;Ridhiwani
5;Bashe
6;Pinda chana
7;mizengo
8;Mwigulu

Aibu yake rais Samia Suluhu,anatafuta mpasuko wa lazima kwa chama na taifa kwa ujumla

Tupunguze ramuli, wakati wa mwendazake hizi ngonjera za kupasuka chama zilikuwa kemukemu lakin icho chama kilipasuka!?
 
Samia anajisifia amekopa Trioni 1.3 ku kotoka kwa mabeberu ili kufanya maendeleo ndani ya Tz na wakati huo huo ametoa Trilioni 10 kutoka pesa za ndani kwenda kulipa madeni nje.

Hivi huyu mtu ana akili sawa sawa?
Miaka yote serikali inalipa madeni haijaanza leo ,hata Mwendazake amekuwa anlipa madeni zaidi ya bil.800 kila mwezi,sio mnaropoka hakuna kitu mnajua kwenye uchumi nyie.

Kwa kukusaidia tuu Samia kaingia kakuta forex imeshuka iko bil.dola mil.400 sawa na kuagiza bidhaa Nje kwa miezi 4,,unapopata mkopo unaongea forex reserves na kustabilize shilling yako na kuongeza uwezo wa kuagiza bidhaa Nje .

Ila kwa vile wengi ni viazi hakuna mnachojua zaidi ya kuropoka,achia wenye fani.
 
Anzeni kuuza ardhi zenu mlizojiwekea mahekari kabla hayajawafika
 
Toa hoja au unachokielewa na epuka lugha za matusi,,, Lakini nakuomba samahani sana kwani kama ni elimu sijui kama unaojibizana nao unajua viwango vyao vya elimu,,,Samahani sana but my comments were not directed to you personally you just popped your nose at the end of the gun's muzzle,,, samahani
 
Mpuuzi wewe Samia hafai ,lakini Mungu wenu alikuea ni Shetani kwetu...aende zake!
 
Watanzania mmerogwa tulien tulete tawile wa dunia na mtalia sana ila tulien
 
Sasa Hawa wakidudisha that economy itakuwa nzuri kwa sisi tunaofanya biashara

Kwa kumuacha Waziri wa fedha Mwigulu , anayesema madeni hayalipwi na wananchi bali serikali usitegemee kuwa uchumi wa nchi utakua!! Mfumuko wa bei Ndio huo hawajui hata pa kuanzia wanapiga siasa tu za mwaka 2025!!
 
Kwa timu hiyo labda watukabe na watutaifishe!
 
Hujaona hoja hapo? Unaropoka wakati hujui kitu when it comes to economics and management of country economy.
 
Kwa kumuacha Waziri wa fedha Mwigulu , anayesema madeni hayalipwi na wananchi bali seriali usitegemee kuwa uchumi utami wa nchi utakua!! Mfumuko wa bei Ndio hui hawajui hata pa kuanzia wanapiga siasa tu za mwaka 2025!!
Mwigulu hana shida na mimi kama Mchumi mwenzangu naona yuko sawa,mambo ya kauli za kisiasa kwangu hazina maana nachoangalia ana manage vipi uchumi.

Mwendazake aliwahi sema huna 200 kulipia kivuko kigamboni piga mbizi,je uliona katolewa uwaziri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…