Mama amekwisha sasa. Na CCM itagawanyika sasa hivi. Sibirini. Mama anaongizwa na Kikwete na wala siyo yeye mwenyewe. Hajiamini hata mara moja. Asitudanganye.

Amemtoa Ndugai kafara na yeye siku zake zinahesabika. Tit for tat!
 
Mliosubiri PM majaliwa aenguliwe mpoo? Asante Sana mama,majaliwa piga kazi na mungu akipenda uje uwe rais wetu.

Hongera PM Allah akusimamie

Ngoma bado mbichi!! Ngojea muziki wake unakuja.
 

Institutions hazifi kwa kuugua, kupata ajali mbaya au kushambuliwa kwa silaha za moto. Zenyewe hufa kwa kushindwa kujibu current needs and expectations za stakeholders. Ipo siku (hata kama sio leo) CCM lazima itakufa kwa style hiyo hiyo pia!
 
Mpasuko mkubwa mno unaonekana kwenye ombwe la uongozi Tanganyika yetu
 
umesahau bei ya mbolea ya wapiga kura wake labda msoga atampia kura milioni 8 pekee yake
Samia ni kero ambayo haijawahi kutokea TZ raisi gani analilia mikopo ya mabeberu???
Samia siyo wa CCM kwani ndani ya CCM hawasujudii mabeberu
CCM ya nchi gani hiyo?
 
Kikwete angemwachaje kijana wake kando? Hiyo ardhi ikae sawa Sasa akimaliza mwaka atakuwa anamiliki ardhi kubwa kama Uhuru Kenyatta
Hawa wsna mambo ya ajabu sana,kwenda kumpeleka mkewe akagombee ukuu wa mkoa wapi sijui mtwara huko nilichoka sana ukizingatia wamestaafu.
 
Hii team ilikaa sana benchi awamu ya 5 ila haikusambaratika....Sasa wamerudi ulingoni huenda Polepole atakaa kimya Sasa.
 
Amerithishwa na baba yake Kulala na maiti ili kupata cheo!! Washirikina sana hawa; vichwa nazi .
Mkuu usitumie hili jukwaa kudhalilisha watu....heshimu viongozi.
 
Mkuu usitumie hili jukwaa kudhalilisha watu....heshimu viongozi.
Respect is gained!!! Viongozi ni kioo cha Jamii lazima waoneshe Mfano wa kutokuwa mafisadi!!! These people have done a lot of harm to this country and hence they do not deserve a modicum of respect. I am writing this as a patriot who is angry and loves his country!
 
Huyu Mchengerwa kumpeleka Wizara ya Utamaduni amekosea, kwakeli hata kama ana unasaba nae lakini walau kwa maoni yangu niliona kuna kitu utumishi alikuwa anafanya!!
Ni upuuzi tu kupindua pindua mawaziri i hate it,lukuvi pale alishafit kabisa,ummy nae alikua ndio kwanza anaanza kuweka mambo sawa mara nenda kule.mambo gani hayo mtu unabadilishwa wizara 2 kwa miezi 9 sasa ufanisi wako utaonekanaje?
Nape na Riz1 wamerudishwa wa nini hakuna watu wengine wa kuongoza.
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…