Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
Mama amekwisha sasa. Na CCM itagawanyika sasa hivi. Sibirini. Mama anaongizwa na Kikwete na wala siyo yeye mwenyewe. Hajiamini hata mara moja. Asitudanganye.Bado tuna safari ndefu sana kama taifa, CCM baada ya kututawala kwa miaka 60 wanaonesha dhahiri jinsi akili zao zilivyofika mwisho wa kufikiri. Sasa wanashindwa hata jambo dogo tu la kutafuta sura mpya zenye weledi zije kufanya kazi ya wananchi licha ya wasomi wengi waliopo.
Ni aibu kwa taifa la watu zaidi ya milioni 60 kuongozwa na sura zile zile kila awamu, huu mchezo wa kurithishana madaraka unatengeneza taifa la watawala na watawaliwa. Nawashangaa zaidi wale jamaa zangu wanaoitwa ikulu wakaimbe mipasho wakati hata wao keki ya taifa haiwahusu, hawa ndio watumwa haswa.
Amemtoa Ndugai kafara na yeye siku zake zinahesabika. Tit for tat!