frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 242
Haumo wewe.Leteni updates
Ngumu sana, kutoka enzi za nyungu, kutest mitambo na sasa kuoigwa chiniAkatestiwe mbususu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849] Hii nchi ngumu mnoo [emoji23][emoji23]
...Dah!....Msoga era is back.
Zimekwama🤣Mbona hamna update
Riziwani kala shavu,hapa mama kawapa watu cha kusema,bure kabisa.Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja.
======
Baraza la Mawaziri
Kwa sasa nchi inaongozwa kwa rimoti tokea msogaCcm inawenyewe wamerudi wote team kikwete
Hebu acha bangi zako alikuambia baba yako asiingie kwenye system nani ebo.😀 jokes
Kilichofanyika ni ushenzi mtupuMuda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
======
Baraza la Mawaziri
Kapewa wizara gani tena, ila yule ni shost wa bi mkubwa, hawezi mtemaKapangiwa wizara nyingine
Ni ushamba tu unatusumbuaWatanzania bhana!
Waziri atayabadili maisha yako?
Ridhiwani ndani, bora tupigwe mnada tu [emoji3]
Kawa nani jamaniRiziwani kala shavu,hapa mama kawapa watu cha kusema,bure kabisa.
Huyo ni mtoto wa kamboRidhiwani ndani, bora tupigwe mnada tu [emoji3]