Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikosea saaaaana kutowarithisha uongozi serikalini Watoto wake, hili ni pigo kubwa kwa Familia na Ukoo wake wooote...Ova.
 
Mwigulu hana shida na mimi kama Mchumi mwenzangu naona yuko sawa,mambo ya kauli za kisiasa kwangu hazina maana nachoangalia ana manage vipi uchumi

Wewe unajinasibu kuwa mchumi kama Mwigulu halafu unadiriki kusema INFLATION huna shida nayo? Wewe mchumi wa wapi;MSOGA?
 
Umeandika ugoro mtupu sijui kama unajua ulichokiandika basi kama vipi kuwa chama cha siasa upewe wewe nchi
 
Angalia watoto wa viongozi wakubwa au wastaafu wote wanapangiwa uwaziri na je mtoto wa mkulima lini atateuliwa??
Samia halipi fadhila bali anatimiza azma ya walioumizwa na JPM kwa kuwashughulikia na JPM hakuwa na mambo ya uongozi wa urithi,,,
Jamani jamani Samia hatufai sasa tufanyeje??? mjadala uwe huo
Samia anafanya kazi ya kuharibu legacy ya JPM ambayo angeipata kwa mambo mengi iliyoyaanzisha ikiwamo hiyo miradi ya kimkakati ya SGR , RUFIJI DAM na madaraja ya vivutio
Tunaona uchungu sana lkn tatizo hakuna upinzani credible kwani kuwapa nchi CDM ni bora ya hayo maCCM kwani CDM wakilipa fadhila ni huko nje kwa mabeberu wafadhili na waelekezaji wao,,,bora CCM walipane fadhila kwa waTZ mara dufu kuliko huyo Mabuttu Lissu wa Ubelgiji
Tatizo chadema wanawaza visasi muda wote.
Wasikilize kwenye mitandao huko YouTube na kwingineko, hadi magazetini kina kubenea, Lissu,Heche,Msigwa,Mnyika, Mrema,Lema.woote wanahubiri visasi na kuwaombeawatumabaya, hukuwakifurahia kilawanaposikia fulaniyamemkuta

.kasoro meya Jackob yeye amejikita kwenye ujasilimali zaidi.

Sasa hawa ukiwapa nchi, itawachukuwa miaka mitano yote kuwashughurikia wabaya wao kisiasa kuliko kuwaletea wananchi maendeleo.
 
La ila Kikwete jamani! Mke Mbunge,yeye mwenyewe mshahara maisha maisha yake yote,anataka na mtoto awe waziri? Loh nafuu angekuwa na uwezo basi.
Sasa ukute watu wanavyomsifia kwenye mitandao, mara ooh mtu wa watu, sijui baba wa taifa!!

Watanzania wakati mwingine tunastahili kunyukwa hivi, tumepungukiwa sana ufahamu. Kikwete hamna kitu kabisa
 
Kiukweli nadhani kwa miaka ya hivi karibuni nchi hii haukuwahi kuwa na Waziri wa ardhi aliyeimudu Wizara Ile kwa kiasi chake kama Lukuvi. Kiukweli tumepata pigo. Yule mzee kidogo alikuwa na utu katika utatuzi wa migogoro ya ardhi.
Kafanya kazi nzuri tu,katemeshwa.
Prof kabudi amekua na shida gani? Hao hata urais hawawazii hiyo 2025.
Maana washazeeka, huyo mwambe sawa maana ni kiraka tu.
Kitila mkumbo angeamishwa.
Bado anahitajika.
Anayemshauri huyu maza si mtu mzuri
 
Naona mama analinda kura zake vilivyo kuelekea 2025
Kanda ya ziwa-Mabula
Kaskazini-Mkenda na Doto
Kusini-Nape
Nyanda za juu kusini-Mhagama..
 
Mwigulu hana shida na mimi kama Mchumi mwenzangu naona yuko sawa,mambo ya kauli za kisiasa kwangu hazina maana nachoangalia ana manage vipi uchumi.

Mwendazake aliwahi sema huna 200 kulipia kivuko kigamboni piga mbizi,je uliona katolewa uwaziri?
Hutuko kulingishiana taaluma zetu ww jibu hoja kisomi
 
Angalia watoto wa viongozi wakubwa au wastaafu wote wanapangiwa uwaziri na je mtoto wa mkulima lini atateuliwa??
Samia halipi fadhila bali anatimiza azma ya walioumizwa na JPM kwa kuwashughulikia na JPM hakuwa na mambo ya uongozi wa urithi,,,
Jamani jamani Samia hatufai sasa tufanyeje??? mjadala uwe huo
Samia anafanya kazi ya kuharibu legacy ya JPM ambayo angeipata kwa mambo mengi iliyoyaanzisha ikiwamo hiyo miradi ya kimkakati ya SGR , RUFIJI DAM na madaraja ya vivutio
Tunaona uchungu sana lkn tatizo hakuna upinzani credible kwani kuwapa nchi CDM ni bora ya hayo maCCM kwani CDM wakilipa fadhila ni huko nje kwa mabeberu wafadhili na waelekezaji wao,,,bora CCM walipane fadhila kwa waTZ mara dufu kuliko huyo Mabuttu Lissu wa Ubelgiji
Tanzania kama nchi tuna safari ndefu Sana. Yaani watu wanahangaika Katiba Mpya, huku wenye ufinyu wa fikra wakiwaza madaraka!! Yaani Mataga huwezi kumtofautisha mwenye PhD na std seven. Wote Wana upeo Sawa kama wewe. Aibu tupu
 
Kwa kweli naomba sana Chama kifie mikononi mwa huyu mama,ili watu wajue kwamba ata kwenye vitabu vitakatifu mwanamke hafai kuongozana wanaume,Mama anataka kuuza hii nchi
 
Nape na Ridhiwani
Nawapa pole wana CCM waojazwa kwenye malori kuongeza Idadi ya watu kwenye mikutano. Chama kweli kina wenyewe kupata nafasi CCM hakikisha mzazi wako alikuwa ana jina kubwa
 
Wakati wa uongozi wa baba take watu walikuwa wananyang'anywa ardhi kiholela. Nadhani utakuwa umepata jibu
Naona zama za kina Papa Msofe kurudi kupora ardhi za watu zimewadia ni kosa kubwa sana limefanyika huyu kijana kumpa hiyo wizara ni mpigaji mkubwa wa ardhi.
 
Back
Top Bottom