Roy Logan
JF-Expert Member
- Jan 22, 2021
- 790
- 3,190
Wasiwasi wako tu kwani uwaziri umesikia anaenda kubeba vyu
Alaah!Ndie Raisi ajaye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiwasi wako tu kwani uwaziri umesikia anaenda kubeba vyu
Alaah!Ndie Raisi ajaye
Mkuu hivi ndivyo unavyowaza katika maisha ya kawaida au ni hapa tu kwenye jukwaa ?Wasiwasi wako tu kwani uwaziri umesikia anaenda kubeba vyuma
Mwigulu hana shida na mimi kama Mchumi mwenzangu naona yuko sawa,mambo ya kauli za kisiasa kwangu hazina maana nachoangalia ana manage vipi uchumi
Mkuu vipi!?Mwinyi hakuwahi kufanya ujinga huo
Unajua kuna watu wanafikiri Mwinyi ni mtu wa maana sana!Hakuwahi? Kwani waliofuata hawakumteua mtoto wake?
Tatizo chadema wanawaza visasi muda wote.Angalia watoto wa viongozi wakubwa au wastaafu wote wanapangiwa uwaziri na je mtoto wa mkulima lini atateuliwa??
Samia halipi fadhila bali anatimiza azma ya walioumizwa na JPM kwa kuwashughulikia na JPM hakuwa na mambo ya uongozi wa urithi,,,
Jamani jamani Samia hatufai sasa tufanyeje??? mjadala uwe huo
Samia anafanya kazi ya kuharibu legacy ya JPM ambayo angeipata kwa mambo mengi iliyoyaanzisha ikiwamo hiyo miradi ya kimkakati ya SGR , RUFIJI DAM na madaraja ya vivutio
Tunaona uchungu sana lkn tatizo hakuna upinzani credible kwani kuwapa nchi CDM ni bora ya hayo maCCM kwani CDM wakilipa fadhila ni huko nje kwa mabeberu wafadhili na waelekezaji wao,,,bora CCM walipane fadhila kwa waTZ mara dufu kuliko huyo Mabuttu Lissu wa Ubelgiji
Wee Riz tulia.Mtoa Mada huna Akili
Sasa ukute watu wanavyomsifia kwenye mitandao, mara ooh mtu wa watu, sijui baba wa taifa!!La ila Kikwete jamani! Mke Mbunge,yeye mwenyewe mshahara maisha maisha yake yote,anataka na mtoto awe waziri? Loh nafuu angekuwa na uwezo basi.
Kafanya kazi nzuri tu,katemeshwa.Kiukweli nadhani kwa miaka ya hivi karibuni nchi hii haukuwahi kuwa na Waziri wa ardhi aliyeimudu Wizara Ile kwa kiasi chake kama Lukuvi. Kiukweli tumepata pigo. Yule mzee kidogo alikuwa na utu katika utatuzi wa migogoro ya ardhi.
Acha maisha yaendelee kijana.andaa wanaoMkuu hivi ndivyo unavyowaza katika maisha ya kawaida au ni hapa tu kwenye jukwaa ?
Hutuko kulingishiana taaluma zetu ww jibu hoja kisomiMwigulu hana shida na mimi kama Mchumi mwenzangu naona yuko sawa,mambo ya kauli za kisiasa kwangu hazina maana nachoangalia ana manage vipi uchumi.
Mwendazake aliwahi sema huna 200 kulipia kivuko kigamboni piga mbizi,je uliona katolewa uwaziri?
Tanzania kama nchi tuna safari ndefu Sana. Yaani watu wanahangaika Katiba Mpya, huku wenye ufinyu wa fikra wakiwaza madaraka!! Yaani Mataga huwezi kumtofautisha mwenye PhD na std seven. Wote Wana upeo Sawa kama wewe. Aibu tupuAngalia watoto wa viongozi wakubwa au wastaafu wote wanapangiwa uwaziri na je mtoto wa mkulima lini atateuliwa??
Samia halipi fadhila bali anatimiza azma ya walioumizwa na JPM kwa kuwashughulikia na JPM hakuwa na mambo ya uongozi wa urithi,,,
Jamani jamani Samia hatufai sasa tufanyeje??? mjadala uwe huo
Samia anafanya kazi ya kuharibu legacy ya JPM ambayo angeipata kwa mambo mengi iliyoyaanzisha ikiwamo hiyo miradi ya kimkakati ya SGR , RUFIJI DAM na madaraja ya vivutio
Tunaona uchungu sana lkn tatizo hakuna upinzani credible kwani kuwapa nchi CDM ni bora ya hayo maCCM kwani CDM wakilipa fadhila ni huko nje kwa mabeberu wafadhili na waelekezaji wao,,,bora CCM walipane fadhila kwa waTZ mara dufu kuliko huyo Mabuttu Lissu wa Ubelgiji
Naona zama za kina Papa Msofe kurudi kupora ardhi za watu zimewadia ni kosa kubwa sana limefanyika huyu kijana kumpa hiyo wizara ni mpigaji mkubwa wa ardhi.Wakati wa uongozi wa baba take watu walikuwa wananyang'anywa ardhi kiholela. Nadhani utakuwa umepata jibu
Bila jeshi kuingilia kati nchi itaangamia na kuwepo machafuko