Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Kusamehe watu wasio na makosa hakuna tija. Hiyo ni danganya toto!Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya.
Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote waliofanya makosa kwa kufuata mkumbo wafutiwe makosa yao.
Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye biblia Yesu akisema "Hawajui walitendalo" hivyo nao wasamehewe
Tunataka yeye na majambazi wake wawajibike kwa massacre waliyofanya!