DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Sijakuelewa hapo unamaanisha nini?Sio kwa jambo kama hili mkuu.
Nafikiri bado hujui tupo kwenye state(Hali) ipi.
Sijakuelewa hapo unamaanisha nini?Sio kwa jambo kama hili mkuu.
Nafikiri bado hujui tupo kwenye state(Hali) ipi.
Sijakuelewa hapo unamaanisha nini?
Mbona hiyo imeanza muda, kuna jamaa walikutwa wanaenda dukani Yale masaa ya kufunguliwa maaskari wakaangalia huku na uko wakawabeba hadi kituoni. Kwanza wakazima simu zao kisha baada ya siku 3 wakaziweka hewani ndipo ndugu kupiga wakaambiwa watoe laki nane kumtoa mmojammoja eti walikuwa wanataka kuchoma kituo cha mafuta.Nimemsikiliza kwa umakini Rais Samia kuhusu msamaha alioutangaza wa baadhi ya Vijana waliokamatwa wakati wa maandamano kipindi cha Uchaguzi Mwaka huu (2025), ni wazi kuwa inawezekana ni jambo zuri lakini kwa Wanausalama wetu tunavyowajua, hapo ni kama wameambiwa “Kila Mbuzi ale kwa urefu wa Kamba Yake”
Ninavyojua ndugu, jamaa marafiki, wazazi na wasimamizi wa Vijana waliojazana Vituo vya Polisi na wengine katika magereza, sasa wataambiwa “refusha mkono ili ndugu yako atoke”
Wabongo tunajuana, japo napo kunaweza kuibuka mgogoro mwingine wa upigaji.
Itakuwa ni mwendelezo wa ile kauli mbiu ya:ndugu, jamaa marafiki, wazazi na wasimamizi wa Vijana waliojazana Vituo vya Polisi na wengine katika magereza, sasa wataambiwa “refusha mkono ili ndugu yako atoke”
Kuna askari alikataa mil 2 naona kabisa akiichamgamkia kwa sasaNimemsikiliza kwa umakini Rais Samia kuhusu msamaha alioutangaza wa baadhi ya Vijana waliokamatwa wakati wa maandamano kipindi cha Uchaguzi Mwaka huu (2025), ni wazi kuwa inawezekana ni jambo zuri lakini kwa Wanausalama wetu tunavyowajua, hapo ni kama wameambiwa “Kila Mbuzi ale kwa urefu wa Kamba Yake”
Ninavyojua ndugu, jamaa marafiki, wazazi na wasimamizi wa Vijana waliojazana Vituo vya Polisi na wengine katika magereza, sasa wataambiwa “refusha mkono ili ndugu yako atoke”
Wabongo tunajuana, japo napo kunaweza kuibuka mgogoro mwingine wa upigaji.
Hizo clips si muliro alisema si halisiRais Samia Suluhu Hassan: Ukiangalia clip za maandamano unaona kuna vijana waliingia kwa kufuata mkumbo, hawajui wanalolifanya, hivyo naelekeza vyombo vya Usalama ikiwemo ofisi za DPP kuchuja makosa.
Natoa msamaha huo kwa kuwa hata vitabu vya Dini vimeeleza kuhusu msamaha.
Baada ya kuwatesa na kuwaumiza sana?Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya.
Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote waliofanya makosa kwa kufuata mkumbo wafutiwe makosa yao.
Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye biblia Yesu akisema "Hawajui walitendalo" hivyo nao wasamehewe