PostGE2025 Rais Samia atangaza msamaha kwa washtakiwa wa kesi ya uhaini, “hasa kwa walioingia kwa kufuata mkumbo“

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Asitutanie
Anawasamehe walikosa nini?
Decembreeeeeee hiyoooooooo tupo
Mmetuona sie mabwege eeeh business as usual? Mmelogwa
 
Watoke waje tuendeleze jingine tena
 
Na December wakifuata mkumbo tena! Watasamehewa?

Hiyo kauli haijakaa sawa,"waliobambikwa kesi waachiliwe".

Kuna kijana alikuwa Karani kituo cha kupigia kura alidakwa akitoka kwenye majukumu yake akaangushiwa uhaini.
 
Sijakuelewa hapo unamaanisha nini?

Kutoka leo mpaka 9 sio mbali hakuna polisi wakufanya hilo. Pili, hayupo polisi mjinga ambaye atakubali kuangushiwa jumba bovu na kuoshewa na wanasiasa. Kutolewa kafara.

Tatu, hakuna mwananchi wa kutoa hongo kwa ajili za kumtoa ndugu yake.

Kwa sasa kinachofanyika ni kuhakikisha hasira za wananchi zinashushwa chini kwa hali na mali. Bila vitisho maana vitisho havifanyi kazi hapa.

Kwa sasa ni kusugua vichwa tunafanyaje kutochochea vurugu na tunapunguzaje nguvu ya hiyo D9. Hiyo ndio agenda iliyopo.
 
Mbona hiyo imeanza muda, kuna jamaa walikutwa wanaenda dukani Yale masaa ya kufunguliwa maaskari wakaangalia huku na uko wakawabeba hadi kituoni. Kwanza wakazima simu zao kisha baada ya siku 3 wakaziweka hewani ndipo ndugu kupiga wakaambiwa watoe laki nane kumtoa mmojammoja eti walikuwa wanataka kuchoma kituo cha mafuta.
 
ndugu, jamaa marafiki, wazazi na wasimamizi wa Vijana waliojazana Vituo vya Polisi na wengine katika magereza, sasa wataambiwa “refusha mkono ili ndugu yako atoke”
Itakuwa ni mwendelezo wa ile kauli mbiu ya:
"...kuingia ndani ni bure ila kutoka ni kwa kibunda"
 
Damu iliyomwagika inamsuta! Damu inalilia kisasi cha Mungu kwa damu aliyomwaga!
 
Kuna askari alikataa mil 2 naona kabisa akiichamgamkia kwa sasa
 
Mbaya zaid vijana wagome hatutak msamaha daah ntaona kweli watu wameamua mwaka huu lazima nyan ateme bungo
 
Hizo clips si muliro alisema si halisi
 
Baada ya kuwatesa na kuwaumiza sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…