Lini Samia aligombea urais hadi useme ni chaguo la watanzania?Rais Samia Ndiye chaguo letu watanzania tuishio hapa Tanzania.kwa hiyo wewe unayeishi uhamishoni endelea na mambo yako huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini Samia aligombea urais hadi useme ni chaguo la watanzania?Rais Samia Ndiye chaguo letu watanzania tuishio hapa Tanzania.kwa hiyo wewe unayeishi uhamishoni endelea na mambo yako huko.
Soma uelewe na siyo kukurupuka tu ndugu yanguLini Samia aligombea urais hadi useme ni chaguo la watanzania?
Kwahiyo hawa wa viti maalumu kuanzia udiwani mpaka jimbo nani anabeba gharama? We ni mingaKwanini niandamane? Yaani niandamane kuunga mkono uroho na uchu wa madaraka wa CHADEMA kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo? Nani atabeba mzigo wa gharama za kuwalipa hao wabunge wa ziada?
Kwa hiyo na wewe unaunga mkono ujinga wa CHADEMA kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo kukidhi matakwa ya matumbo yao?Kwahiyo hawa wa viti maalumu kuanzia udiwani mpaka jimbo nani anabeba gharama? We ni minga
Nakuuliza hivi; hawa wabunge wa viti maalum wa ccm pamoja na madiwani plus wale wale 10 ambao Rais anawateua mzigo wa kuwalipa mishahara anabeba nani? Baada ya hapo nitakujibu kuwa naunga mkono ama la?Kwa hiyo na wewe unaunga mkono ujinga wa CHADEMA kutaka kuwa na wabunge wawili katika kila jimbo kukidhi matakwa ya matumbo yao?
Wewe ndio unakurupuka hao watanzania waliosema Samia ni chaguo lao referendum ilifanyika lini?Soma uelewe na siyo kukurupuka tu ndugu yangu
Dunia kwa sasa ni kama kijiji tuWewe ndio unakurupuka hao watanzania waliosema Samia ni chaguo lao referendum ilifanyika lini?
Bro mbona hii ndio swipe statement yako tu hutaki kuja na facts wala statistics? Are u mad?Dunia kwa sasa ni kama kijiji tu
LikewiseOK tunashare birthday January.
Tupe data kusema watanzania halafu unaulizwa data za watu miliono 60+ unasema dunia ni kama kijiji sio sawa.Dunia kwa sasa ni kama kijiji tu
Huyo ni mjinga na anaaibisha wanaume na wasomi. Imagine anamposa mwanaoTupe data kusema watanzania halafu unaulizwa data za watu miliono 60+ unasema dunia ni kama kijiji sio sawa.
Hao watanzania lini walimchagua Samia na kusema ndio chaguo lao kama rais?
Huyu ni malaya wa akili.Huyo ni mjinga na anaaibisha wanaume na wasomi. Imagine anamposa mwanao
Wameshampendekeza na wanakwenda kumchagua mwakaniTupe data kusema watanzania halafu unaulizwa data za watu miliono 60+ unasema dunia ni kama kijiji sio sawa.
Hao watanzania lini walimchagua Samia na kusema ndio chaguo lao kama rais?
Kila siku namwambia ache kuandika nadharia na vitu vya kufikirika ambavyo mtu yeyote anaweza kuandika akiwa chumbani! Aje na constructive issues itamsaidia hata kama ni teuzi anatafuta! Nimemshauri amtafute "tumbili" Davies Kafulila amfundishe uandishi wenye mantiki na unaojenga hoja fikirishi na shawishi yenye kujenga qmbapo hata msomaji aweza kushawishika na kuvutika au Pascal Mayalla amsaidie pia lakini ameendelea kushupaza shingo na kuakza makalio na kuandika insha tu ambazo hata bint yangu ukimpa title tu anaweza kuandika.Huyu ni malaya wa akili.
Amekubali kuuza utimamu wake kwa 20k
Kwenye kikao kipi?Wameshampendekeza na wanakwenda kumchagua mwakani
Hahaaa sarcasmHBD Samia S. Hassan in advance!.
Ila jitahidi uyakazie mafisadi, kama vile unayaogopa ogopa hv!.
Atayaswaga tu mpaka yatajuta kuzaliwaHBD Samia S. Hassan in advance!.
Ila jitahidi uyakazie mafisadi, kama vile unayaogopa ogopa hv!.