Watawala dhaifu ndio huitaji watu binafsi, mtawala anayejiamini na kujua kipi anachosimamia, kwa kutaka serikali yake iendeshwe vipi, hamuhitaji yeyote zaidi yake binafsi, nawe unayeteuliwa nae lazima ufuate misingi yake.Mnaomuwaza Mwigulu na Mbarawa mnapoteza muda na kujipa uchungu bure!
Hawa watu ktk baraza Samia anawahitaji wao 'binafsi' si kingine.
Watu wa aina hii wanaohitajika binafsi na watawala huwepo almost ktk serikali zote duniani na huwa hawagusiki wala kupimwa utendaji wao.
Dunia nzima huwa hivyo.... mawaziri 'vipenzi' huwa wapo hata Nyerere alikua na watu ambao aliwahitaji tu wao binafsi si kingine.Watawala dhaifu ndio huitaji watu binafsi, mtawala anayejiamini na kujua kipi anachosimamia, kwa kutaka serikali yake iendeshwe vipi, hamuhitaji yeyote zaidi yake binafsi, nawe unayeteuliwa nae lazima ufuate misingi yake.
...It only needs to an adult 😳🤭😁😂Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na. Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
.
Mbna full mtifuanoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mbunge atapewa Ubalozi na Makonda atateuliwa ubunge, kisha ataenda Tamisemi na Mchengerwa Fedha, Dr Mwigullu Uchumi [emoji23]
Na mwaka huo serikali itakayo kuwa madarakani sio CCM.Inshort ni kwamba PM hawezi kuondolewa hapo mpaka 2026 kwenye serikali mpya.
Hivi hii nchi inaitwake vile?
Great Thinker....Heshima Kwako!!Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Kusadikika country!Hivi hii nchi inaitwake vile?
Mwanangu unataka watu wakwendee kwa karumanzilaHiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Kwa hiyo, mleta mada na Wewe umeingia kwenye mfumo huu!! Umeachana na suala la Katiba na DPWORLD na mkataba wa bandari!!? Nchi tamu kuiongoza hii!In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Nimeambiwa huo Mpango Usiku huu , nimecheka sana ! ndio maana mpango ulipangwa Bungeni ukiwahusisha hadi Covid 19Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Masuala ya Bandari hayawezi kuzuia mambo mengineKwa hiyo, mleta mada na Wewe umeingia kwenye mfumo huu!! Umeachana na suala la Katiba na DPWORLD na mkataba wa bandari!!? Nchi tamu kuiongoza hii!
Huwa zikishavuja hivi hawafanyi tena.. Ila Katelefoni anatafutwa mno!Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Noma kweli yaani !Huwa zikishavuja hivi hawafanyi tena.. Ila Katelefoni anatafutwa mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unatakaje kwani ?Hizi ndio habari zetu, fulani atateuliwa..yule atapigwa chini, huyu atapumzishwa, nonsense!
Hivi ndio vitu tunasubiri kwa serikali ifanye, can you imagine we don't care how the country is being governed sisi tunasubiri nani apigwe chini ili nani aingie.
Futseke.!!
Soma utaelewa ninatakaje mkuu.Wewe unatakaje kwani ?
Lukuvi anaweza sana!Kasimu Majaliwa bado yupo sana, Na akiondolewa kwa sasa sioni wa kuvaa viatu vyake, Biteko hata ndala hazimtoshi.