Tetesi: Rais Samia atavunja Barara la Mawaziri, Biteko atakuwa Waziri Mkuu na Mpina atapewa uwaziri ila mambo yatakuwa ni yale yale

Mnaomuwaza Mwigulu na Mbarawa mnapoteza muda na kujipa uchungu bure!

Hawa watu ktk baraza Samia anawahitaji wao 'binafsi' si kingine.

Watu wa aina hii wanaohitajika binafsi na watawala huwepo almost ktk serikali zote duniani na huwa hawagusiki wala kupimwa utendaji wao.
Watawala dhaifu ndio huitaji watu binafsi, mtawala anayejiamini na kujua kipi anachosimamia, kwa kutaka serikali yake iendeshwe vipi, hamuhitaji yeyote zaidi yake binafsi, nawe unayeteuliwa nae lazima ufuate misingi yake.
 
Dunia nzima huwa hivyo.... mawaziri 'vipenzi' huwa wapo hata Nyerere alikua na watu ambao aliwahitaji tu wao binafsi si kingine.
 
Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.

Mwigulu na. Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.

In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
.
...It only needs to an adult 😳🤭😁😂
 
Tatizo ni CCM
018100094042.JPG

Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.

Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.

In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Great Thinker....Heshima Kwako!!
 
Mwanangu unataka watu wakwendee kwa karumanzila
 
In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Kwa hiyo, mleta mada na Wewe umeingia kwenye mfumo huu!! Umeachana na suala la Katiba na DPWORLD na mkataba wa bandari!!? Nchi tamu kuiongoza hii!
 
Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.

Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.

In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Nimeambiwa huo Mpango Usiku huu , nimecheka sana ! ndio maana mpango ulipangwa Bungeni ukiwahusisha hadi Covid 19
 
Hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi, na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.

Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.

In this country, it only needs to be an adult to predict how our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Huwa zikishavuja hivi hawafanyi tena.. Ila Katelefoni anatafutwa mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ndio habari zetu, fulani atateuliwa..yule atapigwa chini, huyu atapumzishwa, nonsense!

Hivi ndio vitu tunasubiri kwa serikali ifanye, can you imagine we don't care how the country is being governed sisi tunasubiri nani apigwe chini ili nani aingie.
Futseke.!!
 
Back
Top Bottom