denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Watawala dhaifu ndio huitaji watu binafsi, mtawala anayejiamini na kujua kipi anachosimamia, kwa kutaka serikali yake iendeshwe vipi, hamuhitaji yeyote zaidi yake binafsi, nawe unayeteuliwa nae lazima ufuate misingi yake.Mnaomuwaza Mwigulu na Mbarawa mnapoteza muda na kujipa uchungu bure!
Hawa watu ktk baraza Samia anawahitaji wao 'binafsi' si kingine.
Watu wa aina hii wanaohitajika binafsi na watawala huwepo almost ktk serikali zote duniani na huwa hawagusiki wala kupimwa utendaji wao.