Tetesi: Rais Samia atavunja Barara la Mawaziri, Biteko atakuwa Waziri Mkuu na Mpina atapewa uwaziri ila mambo yatakuwa ni yale yale

mwigulu na mbarawa wawaondoe tu. hata katelefoni tupa kule.
 
Na lini Lissu anampindua Mbowe kwenye uwenyekiti? Maana nasikia mipango yote ipo tayari!
 
Imeamriwa Mpina aendelee kusahaulika ili aendelee kua salama dhidi ya Watesi wake.

Kwa Mpina Lijalo kwake ni kubwa na Lina Furaisha !!.
 
Yap, maana kuvunja baraza la mawaziri haisaidii kama serikali haina uwezo wa kuchukua hatua dhidi ya wanaoihujumu.
 
Na mwaka huo serikali itakayo kuwa madarakani sio CCM.
Mark my words! Na ikiwa yenyewe haiwezi kuwa na 2 third ya Bunge
Ikiwa hivyo sawa ila kama siyo hivyo tunabaki na my reply no hadi 2026!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…