lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Kama kuna mtu ndani ya CCM ambaye viatu vya uwaziri mkuu vinamtosha basi ni huyo. 'Kama' rais aliyepo atagombea tena basi huyo ni kama anatunzwa kuja kuwa VP.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili Ni mama abduliMama Abdul bado anafanya trial and error
mwigulu na mbarawa wawaondoe tu. hata katelefoni tupa kule.Kwa mtazamo wangu kulingana na hali ya mambo na yanayoendelea Bungeni, hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict what our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Na lini Lissu anampindua Mbowe kwenye uwenyekiti? Maana nasikia mipango yote ipo tayari!Kwa mtazamo wangu kulingana na hali ya mambo na yanayoendelea Bungeni, hiki ndio kinakwenda kutokea siku si nyingi na mabadiliko haya yatakuwa ni ya kisiasa tu.
Mwigulu na Mbarawa, wanaweza kuondolewa kwa muda halafu baadae wakarudishwa au kubadilishiwa wizara, huku Biteko akipewa uwaziri mkuu na Mpina kupewa uwaziri na Majaliwa kupumzishwa.
In this country, it only needs to be an adult to predict what our politicians are going to do or behave under certain circumstances.
Ndio maana tukasema 'binafsi' cha ziada anakijua anaowahitaji 'binafsi'Kwanini anawahitaji wao binafsi...Wana nini Cha ziada kuzidi wengine...?
Just a mere wishful thinking apparently!Tetesi! Au?!
Bongo Yossoo🤪Hivi hii nchi inaitwake vile?
Kamwe haitatokea.Majaliwa Lazima avunje Record ya Sumaye. kukaa miaka 14 kama waziri mkuu
Imeamriwa Mpina aendelee kusahaulika ili aendelee kua salama dhidi ya Watesi wake.Nimeona Samia ana tabia ya kumteua anayeonekana kuwasumbua mawaziri waliopo, akisema njoo nawe ufanye yale uliyokuwa ukiyasema bungeni, ajabu kwa Mpina hamgusi, sijui anaogopa kitu gani, au anasubiri nini.
- Labda Mpina anaweza kuteuliwa after 2025 election kama atafanikiwa kurudi bungeni, lakini kwa sasa sioni atateuliwa awekwe wapi, hasa nikiona anavyodili zaidi na mambo ya wizara ya fedha, ambapo "mtoto wa mama" kwa sasa anaonekana hagusiki.
Kuhusu Majaliwa kupumzika, hiyo inaweza kutokea after 2025, ambapo Samia ataamua kwenda na Biteko kama PM wake baada ya kumpa experience kwa cheo cha Naibu WM alichonacho sasa, ila sidhani kama itakuwa before 2025.
Acha nao wavilingeni waonje keki ya taifa kupitia wenye hofu ya kukaa benchi🤔Mwanangu unataka watu wakwendee kwa karumanzila
Nchi yeye Barara la mawaziriHivi hii nchi inaitwake vile?
Ikiwa hivyo sawa ila kama siyo hivyo tunabaki na my reply no hadi 2026!.Na mwaka huo serikali itakayo kuwa madarakani sio CCM.
Mark my words! Na ikiwa yenyewe haiwezi kuwa na 2 third ya Bunge