Wapeleke mahakamani kama walikula vyako au kama walikupumulia kisogoniMkuu, ongea huku unaweka kumbukumbu sawa juu ya akina Makonda, Sabaya, Kingai, Mahita Jr, Ramadhan, majaji wenye maelekezo maalum pamoja na mabaradhuli wengine walio watesi wa wapenda mabadiliko ya kweli hapa nchini.
Huu uchungu ulionao leo walikua nao wenzio enzi za KAYAFA wakati wewe ukila kuku kwa mrija... to hell with you GarbageR.I.P Magufuli.
Ulikuwa unaona mbali sana kujaribu kukuchafua wewe ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji.
Lisu ,Lema ,Ulimwengu, Assad, Nape, Makamba,Mungu atawalaani
Picha wapi
Safii sana tunawataka waongeze kasi ya ujenzi ukamilike mapema ile janjawid ya makamba ifilie mbali!
Mulamula aache ulaghai, Projects zao zinaonyesha ni Hydroelectric Dams moja tu na ya pili ni Rufiji.Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.
ELSEWEDY ELECTRICS ni kampuni kubwa mzee jaribu ku google uone miradi yao AfricaKampuni kubwa ya udalali[emoji16][emoji16]
Naona umemuunga mkono!Mulamula aache ulaghai Projects zao zinaonyesha ni Hydroelectric Dams moja tu na ya pili ni Rufiji.
Projects Edit
Aswan High Dam[5]
Bibliotheca Alexandrina
Cairo-Alexandria desert road
Luxor International Airport
Sharm El Sheikh International Airport
Hurghada International Airport
Nador International Airport - Morocco
Borg El Arab Stadium
Yasser Arafat International Airport - Gaza Strip
Julius Nyerere Hydropower Station
6th October Bridge
Nador International Airport
Smart Village, Egypt
Namaanisha kuna Kampuni za Afrika zenye uzoefu kuliko hiyo Arab Contractors.Naona umemuunga mkono!
Wewe unaangalia uzoefu wakati dunia ya sasa inaangalia uwezo!Namaanisha kuna Kampuni za Afrika zenye uzoefu kuliko hiyo Arab Contractors.
Ukubwa wa majengo? Financial capacity? Ujuzi? Manpower? Advanced Technology? Au ukubwa wa mananiliu?Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.
Huvi makamba kafanya janja ipi?Safii sana tunawataka waongeze kasi ya ujenzi ukamilike mapema ile janjawid ya makamba ifilie mbali!
Vyote!Ukubwa wa majengo? Financial capacity? Ujuzi? Manpower? Advanced Technology? Au ukubwa wa mananiliu?
Nape ndio kaomba taarifa!Yaani siku zotee hizi kampuni hiyo mmewapa tenda inajenga Serikali walikuwa hawajui hiyo kampuni ipo wapi na ikoje? Halafu tukiwaita mazuzu mnanuna kweli jamani. Ninyi ni mazuzu kweri kweriii.
Kweni Mulamula kasemaje?Wewe unaangalia uzoefu wakati dunia ya sasa inaangalia uwezo!
Picha tafadhaliRais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.
Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.
Chanzo: ITV habari
My take; Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu!
Katika Rais ambae sikuwa na shakha juu yake ni Magufuli, alianza kuitwa tingatinga anzia akiwa Waziri sio kwa bahati mbaya lah! Ila alijulikana na mtu kazi asitaka blabla! Na wapenda blabla ndo waliomchukia Magu.Zamani walizani jiwe amechukua kampuni ovyovyo ili aibe wakati ni mzalendo
Bi.ushungi ni vasco dagama wa kike.Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.
Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.
Chanzo: ITV habari
My take; Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu!
Walifiliri Richmond hii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kampuni si ndio tuliambiwa na wale mavuvuzela kwamba haina hata ofisi?