Rais Samia atembelea ofisi za Arab Contractors nchini Misri wanaojenga Bwawa la Nyerere

Rais Samia atembelea ofisi za Arab Contractors nchini Misri wanaojenga Bwawa la Nyerere

Mkuu, ongea huku unaweka kumbukumbu sawa juu ya akina Makonda, Sabaya, Kingai, Mahita Jr, Ramadhan, majaji wenye maelekezo maalum pamoja na mabaradhuli wengine walio watesi wa wapenda mabadiliko ya kweli hapa nchini.
Wapeleke mahakamani kama walikula vyako au kama walikupumulia kisogoni
 
R.I.P Magufuli.

Ulikuwa unaona mbali sana kujaribu kukuchafua wewe ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji.
Lisu ,Lema ,Ulimwengu, Assad, Nape, Makamba,Mungu atawalaani
Huu uchungu ulionao leo walikua nao wenzio enzi za KAYAFA wakati wewe ukila kuku kwa mrija... to hell with you Garbage
 
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.
Mulamula aache ulaghai, Projects zao zinaonyesha ni Hydroelectric Dams moja tu na ya pili ni Rufiji.

Projects Edit
Aswan High Dam[5]
Bibliotheca Alexandrina
Cairo-Alexandria desert road
Luxor International Airport
Sharm El Sheikh International Airport
Hurghada International Airport
Nador International Airport - Morocco
Borg El Arab Stadium
Yasser Arafat International Airport - Gaza Strip
Julius Nyerere Hydropower Station
6th October Bridge
Nador International Airport
Smart Village, Egypt
 
Mulamula aache ulaghai Projects zao zinaonyesha ni Hydroelectric Dams moja tu na ya pili ni Rufiji.

Projects Edit
Aswan High Dam[5]
Bibliotheca Alexandrina
Cairo-Alexandria desert road
Luxor International Airport
Sharm El Sheikh International Airport
Hurghada International Airport
Nador International Airport - Morocco
Borg El Arab Stadium
Yasser Arafat International Airport - Gaza Strip
Julius Nyerere Hydropower Station
6th October Bridge
Nador International Airport
Smart Village, Egypt
Naona umemuunga mkono!
 
Yaani siku zotee hizi kampuni hiyo mmewapa tenda inajenga Serikali walikuwa hawajui hiyo kampuni ipo wapi na ikoje? Halafu tukiwaita mazuzu mnanuna kweli jamani. Ninyi ni mazuzu kweri kweriii.
 
Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.
Ukubwa wa majengo? Financial capacity? Ujuzi? Manpower? Advanced Technology? Au ukubwa wa mananiliu?
 
Yaani siku zotee hizi kampuni hiyo mmewapa tenda inajenga Serikali walikuwa hawajui hiyo kampuni ipo wapi na ikoje? Halafu tukiwaita mazuzu mnanuna kweli jamani. Ninyi ni mazuzu kweri kweriii.
Nape ndio kaomba taarifa!
 
Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri.

Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo.

Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika mambo ya Umeme.

Chanzo: ITV habari

My take; Nape Nnauye anapata majawabu ya hoja yake taratibu!
Picha tafadhali
 
Bi.ushungi ni vasco dagama wa kike.
 
Back
Top Bottom