Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Mkuu Mbio za sakafuni huishia ......
 
Jamaa alihamasisha wananchi waende na mabango ya matusi mbele ya Rais, akili hana yule kosa angeanza kuzunguka kila kata kutatua kero za wananchi yeye ni kuzurura tu na kiuhalisia mwanza asingeiweza
 
Imajini kipindi cha Mwendazake...

Mkuu nisome
 
Kibri kiliwazidi sana hawa wahuni na dhalimu. Walidhani yule dhalimu mwenzao ataishi milele ili kuwakingia kifua maovu yao. Sasa WANAJUTA!!!
Bado aliyefuga Chatu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…