Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Sekiete Selemani

Hiyo mwenyewe kabla ya Nzega alikuwa Mtaani tu.
Kikubwa Serikali ifuate muundo wa kiutumishi kwenye teuzi za Wakurugenzi.
 
Kumekucha uwanja wa wa Mkapa, Kitombile
Huyo mkurugenzi sekiete alikuwa hamna kitu kabisa, usimamizi mbovu, hana maono, hajui kuibua miradi, hajui kusimamia miradi, ni rushwa na kujaza kitambi tu, mtu wa ovyo sana, bora mama yetu kipenzi chetu samia ameliona hilo jibu tunamshukuru sana, pia panga hilo alielekeze kwa mkuu wa mkoa ambaye yupo kama hayupo na hajui Mwanza inataka nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…