Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Hujasoma kuna mkubwa katemwa, huyu katoka kupisha nafasi tuAisee!!
Vetting huwa haipo au tunarudi kule kule kwa Mzee wa kitovuni??
Hawakujua kama wanataka kumtema?Hujasoma kuna mkubwa katemwa, huyu katoka kupisha nafasi tu
Yawezekana pia jamaa kamwomba Mama amtengueMmnh! hii sasa ni dharau.
Na jumapili hii kuna kutengua na kutenguliwa,uyo aliyetenguliwa leo suti ya dukani alishaiandaa kabisa kwa ajili ya kesho kuapishwa....inaumiza kweli