Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisa amesali Dkt. Chegeni asubuhi na kutoa Sadaka ya Shukrani anapaswa kwenda kwa Mchungaji kuichukua[emoji23]Nadhani hili atalitolea ufafanuzi kesho akiwaapisha.
Huyo aliyeteuliwa alikuwa mpya, kaondolewa kabla hajaanza kazi. Au hujui kusoma?Safisha inaendelea
Thubutu, labda kwa wengine lakini sio chegeniYawezekana pia jamaa kamwomba Mama amtengue
Ninaomba kujua ilikua kwa naniDaa hii alishafanyaga Magufuli
Mchungaji hawezi kukubali kurudisha sadaka kizembe.Kanisa amesali Dkt. Chegeni asubuhi na kutoa Sadaka ya Shukrani anapaswa kwenda kwa Mchungaji kuichukua[emoji23]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu hata hajaimba mkuu, kashika mic tu mama kamwambia nyimbo zako sizitaki.😀😀Kuimba kupokezana
Inaonekana unamjua na kumfahamu vizuri sana.Thubutu, labda kwa wengine lakini sio chegeni