Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

Mambo juu ya mambo, kulikoni ?

TOKA MAKTABA:
20 July 2022

Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi​

1659285296257.png

Kushoto CP Diwani Athumani Msuya, kati Jenerali Venance Salvatory Mabeyo, kulia IGP Simon N. Sirro
1659290826531.png

Picha: CP Salum Rashid Hamduni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
1659285606703.png

Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee, Kamishna Mkuu wa Magereza CGP.

Picha: Zote Toka maktaba online ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
 
Ni Mkuu wa Magereza amekuwa RC
Demotion kali eh? Ama

Huyo mwingine maskini na suti yake ya kesho itakua alikuwa nayo tayari

Yaah CGP kuwa Mkuu wa Mkoa ni demotion tu
Akiwa CGP alikuwa anasimamia magereza na miradi yao nchi nzima, ndo ana manage mafungu yote ya Magereza sasa leo kuwa RC ni kwamba kashuka sana
 
Yaah CGP kuwa Mkuu wa Mkoa ni demotion tu
Akiwa CGP alikuwa anasimamia magereza na miradi yao nchi nzima, ndo ana manage mafungu yote ya Magereza sasa leo kuwa RC ni kwamba kashuka sana
halafu huyu jamaa si mzenji mwenzake mama,
 
Balaa hili. Huyu kamishina wa magereza kapata demotion ta kufa mtu. Tuliambiwa ni mchapa kazi .Imekuwaje tena ?Chegeni nae nani kamchongea ?Dunia hii ving'ast wamejaa tele. Hapo baba wa watu kishashona suti. ***** 😂
 
TOKA MAKTABA:
08 May 2022

Ushauri Kwa Rais Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Jenerali Ulimwengu, huu ni ushauri muhimu sana

Back
Top Bottom