babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Wanaosali nae wamesema leo katoa shukrani fungu la kumi kubwa tu,na kushkuru kwa kuteuliwa na rais.Yawezekana pia jamaa kamwomba Mama amtengue
Baada ya hapo akaombe kutunguliwa???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaosali nae wamesema leo katoa shukrani fungu la kumi kubwa tu,na kushkuru kwa kuteuliwa na rais.Yawezekana pia jamaa kamwomba Mama amtengue
Bado maelezo hayaendi popote.Raisi wala hahitaji awasiliane akina unafaa. Nafasi fulani
Toka Tanzania ipate uhuru watu huwa surprised uteuzi akiwemo.Samia Suluhu Hasan alilia sana kusikia yeye mgombea Mwenza
Hata Phillip Mpango hakuambiwa kuwa yeye ndie atakuwa Makamu
Sio kweli alafu huenda wengi huwajui, nikuulize ushawahi kuwasikia Hawa popote?Kupigana, kukimbua na masanduku ya kura ni jadi ya CCM...
Nikupe dodoso, unawafahamu wanasiasa wa kanda ya ziwa ambao hawakupiga magoti na kuimba mapambio awamu ya Magufuli.....? Chegeni ni mmoja wao, sababu unajua ni kwanini...?
Chegeni?Push Gang flush out!
Chegeni?Push Gang flush out!
Huyo Hana njaa ameomba apumzike
Cheo cha wapenda sifa hicho maana siku hizi mtu ukiwa mkuu wa mkoa lazima uwe na matashtit wakati hiyo position ni ya kufanya kazi kimya kimyaKwahiyo hicho cheo ni cha wenye njaa?!
Ni kawaida maana alimtoa mkuu wa JKT Major General Charles Mbuge na kumteua mkuu wa mkoa wa Kagera.Kwa mizania ya kawaida tu, huu uteuzi wa Major General kuwa Mkuu wa Mkoa sijauelewa kabisa.Tena huyu Major General alikuwa Mkuu wa Magereza.
Mizania haiko sawa, Major General na Mkuu wa Magereza yuko too senior kuwa Mkuu wa Mkoa.
Wajuvi hanu mnieleweshe hapa!
Sasa huoni kama hapo ni issue tofauti, huyu alishindwa kuapa, huyu kabla hajaapa.Magu alifanya kwa yule ambae alishindwa kuapa na kumpiga pin pale pale ukumbini
Mama Samia ukiona Jina la Chegeni uchaguzi 2025 akigombea ubunge piga chini usirudishe
uwezo wake kuchanganua mambo ni mdogo, kina bashiru hawakukosea ila basi tu hawakufanikiwa!Binafsi namkubali sana Mama kwasababu mengi anayoyafanya yamebeba dhamira njema. Lakini nafikiri kwasasa baadhi ya ushauri awe anaupokea lakini kwa wakati wake baadhi ya shauri anazoletewa awe anajaribu kupata uzoefu kwa wenzake waliomtangulia.
Nasema hivi kwasababu kuna mtu anaweza kukupa ushauri bila kujua au hata kwa interest zake. Nadhani ingekuwa Kipindi cha Nyerere, Mkapa, Mwinyi, JK hata JPM isingetokea Kumtoa Mkuu wa Chombo halafu Umpeleke Mkoani. Angepelekwa ubalozini au kama alitokea jeshini angerudishwa huko kupangiwa jukumu. Haijalishi ni chombo kipi lakini maadam ni chombo basi kichukuliwe hadhi sawa na IGP, UHAMIAJI, DGIS AU CDF hata kama ki protocol na Majukumu kuna mkubwa na mdogo. Sasa Mkuu wa chombo wa cheo cha jenerali anakwenda Mkoani level moja na Luteni Kanali wa Mtwara na Ruvuma
kumbe wewe ni kihiyo kiasi hiki?Umri wa kustaafu umefika unataka aendelee kuwa major generali?
Huenda wewe ndio wa juzi. Kanali massawe aliteuliwa mkuu wa wilaya kinondoni 2006, au ulikuwa bado village?Hawa watu huko nyuma waliteuliwa baada ya kustaafu kazi, ila kama wewe wa juzi huwezi kuelewa
mbuge si alikua brigadier wakati anapelekwa kagera?Ni kawaida maana alimtoa mkuu wa JKT Major General Charles Mbuge na kumteua mkuu wa mkoa wa Kagera.
Kwa hiyo ni kawaida