Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Chegeni hawezi kuwa Sukuma gang asilani.Imebainika kuwa Rafaeli Chegenini member mtiifu wa sukuma gang ndiyo maana katenguliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chegeni hawezi kuwa Sukuma gang asilani.Imebainika kuwa Rafaeli Chegenini member mtiifu wa sukuma gang ndiyo maana katenguliwa.
Endelea kuazarau darasa la 7 lakini ujue bwana Kasheku Joseph aka Msukuma ni mjumbe wa kamati ya nishati.acha ufyatu eti anapigiwa salute na wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama.
shule yako darasa la ngapi kwanza nisije nikakutendea dhambi kumbe std seven nikamkosea Mungu
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Mara nyingi nimesema humu Kuna watu wengi wenye akili ndogo. Sikutegemea kukutana na hili swali.Naomba kuuliza swali kwa mfano hapo meja generali Mzee amekuwa mkuu wa mkoa je akitenguliwa anarudi jeshini au anarudi magereza maana umri wake wa kustaafu bado???
Tatizo ni washarika wabovu au waliotawala wanaendelea kukaa meza Moja! Nawaza!Siku chache baada ya Wakuu wa Mikoa wapya 9 kuteuliwa, Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Dkt. Raphael Masunga Chegeni
Amemteua Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, na ataapishwa na Wateule wengine kesho (Agosti 01, 2022)
Kabla ya uteuzi wa Rais, Meja Jenerali Mzee alikuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP)
View attachment 2310242
View attachment 2310215
Yeye mwenyewe aliwahi sema eti "Rais hakosei.." yaani siku hiyo nilimchekiii.... kisha nikasema hii!!Hiyo ni dalili ya taasisi ya urais kufanya kazi kienyeji. Ni kipi kilimfanya akamteua, kisha ndani ya siku 2 abatilishe? Kuna watu wanasema taasisi ya urais iko makini, lakini kiukweli ni taasisi chache mno za serikali ziko makini, na huo ni mfano halisi wa udhaifu huo.
Itakuwa wana sababu za msingiMama kamkosea adabu sana Huyu Chegeni pamoja na usukuma wake mi nasema hapana, na aache kuendewa na muha wa burundi ktk kufanya maamuzi yanayowahusu watanzania hasa wabara.
kwa mwendo huu wallah tusijaribu tena kuteua wazanzibar kuongoza tanzania.
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Yaani Rais anateua mtu bila kujua kama yuko tiyari. Hapo ndio ujue tunavyoishi kienyeji, mteuliwa hata nia unakuta ana anakuja kuishi tu kwenye cheoHiyo ni dalili ya taasisi ya urais kufanya kazi kienyeji. Ni kipi kilimfanya akamteua, kisha ndani ya siku 2 abatilishe? Kuna watu wanasema taasisi ya urais iko makini, lakini kiukweli ni taasisi chache mno za serikali ziko makini, na huo ni mfano halisi wa udhaifu huo.
Jamani Sadaka ikachukuliwe kanisani? Duu umefika mbali sana, MUNGU atampa kazi nyingine.Kanisa amesali Dkt. Chegeni asubuhi na kutoa Sadaka ya Shukrani anapaswa kwenda kwa Mchungaji kuichukua[emoji23]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hizo ni nafasi za kitaalam aka watumishi wa serilikali yaani wale waliojariwa / wapo kwenye utumishi wa umma, tofauti na ukuu wa mkoa, wilaya na zingine zinazofanana na hizo ambazo mimi na wewe tunaweza tukapewa
Sifa hana kwa kuwa sio mtumishi wa serikali, unatakiwa kwanza uwe na ajira ya serikali ndipo uteuliwe kuwa katibu mkuu
Sijakariri mkuu ila ndivyo hivyo mkuu, hata mimi kwenye Ukurugenzi huwa najiuliza ilikuaje au walipewa kwanza contract ya kazi ndipo yakafuata mengine, kwa ambao below 45 years wanaweza wakafanya namna sijui kwa Wakurugenzi walifanyaje, unless kama walikuwa watumishi wa ile ofisi ya Makumbusho. Kimsingi RAS, DAS, Wakurugenzi wa Mashirika ya Umma , Wakurugenzi wa Halmashauri wanatakiwa watoke humo na ndio maana wakitumbuliwa kama Wakurugenzi wanabaki kwa kupewa kitengo hata ofisi ya RC. (Na juzi kati Mwigulu alikuja na proposal ya mtu akitumbuliwa mshahara ushushwe)Ni kweli lakini kwa awamu hizi sivyo, watu wengi tu wamepewa nafasi za utumishi na hawakuwa watumishi. Anzia wakurugenzi wa halmashauri mpaka katibu wakuu!
Wanasiasa wameshavuruga huo utaratibu hivyo usikariri Mkuu.
Boss wa awali amestaafu juzi na Mabeyo
Pengine pia kaomba aachwe apumzikeNadhani hili atalitolea ufafanuzi kesho akiwaapisha.
Watu tupunguze mawazo ya njaa njaa, huyo Chegeni sio kijana useme ndio anatafuta maisha, alishayatafuta kwa kuhudumu serikali zilizopita, sio mgeni kwenye siasa.
Kitu kitakacho mkosti sana sa100 ni kuficha sababu ya hatua anazo chukua...hata mtoto ukiwa unamchapa siku zote bila ya kumjulisha sababu basi jua unatengeneza tatizo ....wananchi hatujui sababu za sa100Siku chache baada ya Wakuu wa Mikoa wapya 9 kuteuliwa, Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Dkt. Raphael Masunga Chegeni
Amemteua Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, na ataapishwa na Wateule wengine kesho (Agosti 01, 2022)
Kabla ya uteuzi wa Rais, Meja Jenerali Mzee alikuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP)
View attachment 2310242
View attachment 2310215
Na suti yake ipo kwa fundi ndio anamalizia kupiga pasi,fundi kaambiwa kata simu kata simu,mama anapiga.Na ukute jamaa alishakuwa amefika Dodoma tayari kwa uapisho kesho