Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

acha ufyatu eti anapigiwa salute na wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama.
shule yako darasa la ngapi kwanza nisije nikakutendea dhambi kumbe std seven nikamkosea Mungu

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Endelea kuazarau darasa la 7 lakini ujue bwana Kasheku Joseph aka Msukuma ni mjumbe wa kamati ya nishati.
 
Naomba kuuliza swali kwa mfano hapo meja generali Mzee amekuwa mkuu wa mkoa je akitenguliwa anarudi jeshini au anarudi magereza maana umri wake wa kustaafu bado???
Mara nyingi nimesema humu Kuna watu wengi wenye akili ndogo. Sikutegemea kukutana na hili swali.
 
Siku chache baada ya Wakuu wa Mikoa wapya 9 kuteuliwa, Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Dkt. Raphael Masunga Chegeni

Amemteua Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, na ataapishwa na Wateule wengine kesho (Agosti 01, 2022)

Kabla ya uteuzi wa Rais, Meja Jenerali Mzee alikuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP)

View attachment 2310242

View attachment 2310215
Tatizo ni washarika wabovu au waliotawala wanaendelea kukaa meza Moja! Nawaza!
Kingai kweli anafaa kwenye hiyo nafasi??
 
Hiyo ni dalili ya taasisi ya urais kufanya kazi kienyeji. Ni kipi kilimfanya akamteua, kisha ndani ya siku 2 abatilishe? Kuna watu wanasema taasisi ya urais iko makini, lakini kiukweli ni taasisi chache mno za serikali ziko makini, na huo ni mfano halisi wa udhaifu huo.
Yeye mwenyewe aliwahi sema eti "Rais hakosei.." yaani siku hiyo nilimchekiii.... kisha nikasema hii!!
 
Mama kamkosea adabu sana Huyu Chegeni pamoja na usukuma wake mi nasema hapana, na aache kuendewa na muha wa burundi ktk kufanya maamuzi yanayowahusu watanzania hasa wabara.
kwa mwendo huu wallah tusijaribu tena kuteua wazanzibar kuongoza tanzania.

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Itakuwa wana sababu za msingi

Japo sintofahamu ni kubwa
 
Wasomi wanateswa sana na siasa. Huenda Dr. Kachomoa dakika za mwishoni 🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo ni dalili ya taasisi ya urais kufanya kazi kienyeji. Ni kipi kilimfanya akamteua, kisha ndani ya siku 2 abatilishe? Kuna watu wanasema taasisi ya urais iko makini, lakini kiukweli ni taasisi chache mno za serikali ziko makini, na huo ni mfano halisi wa udhaifu huo.
Yaani Rais anateua mtu bila kujua kama yuko tiyari. Hapo ndio ujue tunavyoishi kienyeji, mteuliwa hata nia unakuta ana anakuja kuishi tu kwenye cheo
 
Hizo ni nafasi za kitaalam aka watumishi wa serilikali yaani wale waliojariwa / wapo kwenye utumishi wa umma, tofauti na ukuu wa mkoa, wilaya na zingine zinazofanana na hizo ambazo mimi na wewe tunaweza tukapewa

Ni kweli lakini kwa awamu hizi sivyo, watu wengi tu wamepewa nafasi za utumishi na hawakuwa watumishi. Anzia wakurugenzi wa halmashauri mpaka katibu wakuu!

Wanasiasa wameshavuruga huo utaratibu hivyo usikariri Mkuu.
 
Sijakariri mkuu ila ndivyo hivyo mkuu, hata mimi kwenye Ukurugenzi huwa najiuliza ilikuaje au walipewa kwanza contract ya kazi ndipo yakafuata mengine, kwa ambao below 45 years wanaweza wakafanya namna sijui kwa Wakurugenzi walifanyaje, unless kama walikuwa watumishi wa ile ofisi ya Makumbusho. Kimsingi RAS, DAS, Wakurugenzi wa Mashirika ya Umma , Wakurugenzi wa Halmashauri wanatakiwa watoke humo na ndio maana wakitumbuliwa kama Wakurugenzi wanabaki kwa kupewa kitengo hata ofisi ya RC. (Na juzi kati Mwigulu alikuja na proposal ya mtu akitumbuliwa mshahara ushushwe)
 
Nadhani hili atalitolea ufafanuzi kesho akiwaapisha.

Watu tupunguze mawazo ya njaa njaa, huyo Chegeni sio kijana useme ndio anatafuta maisha, alishayatafuta kwa kuhudumu serikali zilizopita, sio mgeni kwenye siasa.
Pengine pia kaomba aachwe apumzike
 
Siku chache baada ya Wakuu wa Mikoa wapya 9 kuteuliwa, Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Dkt. Raphael Masunga Chegeni

Amemteua Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, na ataapishwa na Wateule wengine kesho (Agosti 01, 2022)

Kabla ya uteuzi wa Rais, Meja Jenerali Mzee alikuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP)

View attachment 2310242

View attachment 2310215
Kitu kitakacho mkosti sana sa100 ni kuficha sababu ya hatua anazo chukua...hata mtoto ukiwa unamchapa siku zote bila ya kumjulisha sababu basi jua unatengeneza tatizo ....wananchi hatujui sababu za sa100
 
TOKA MAKTABA :

28 October 2018
Lawrence Masha na Raphael Chegeni matatani kwa vurugu

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Lawrence Masha na Mbunge wa Busega Raphael Chegeni pamoja na vijana 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wakituhumiwa kuvunja nyumba ya muwekezaji wa zao la Parachichi Peter Cruise kinyume cha taratibu.
Source : Azam tV
 
Back
Top Bottom