Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

TOKA MAKTABA :

14 March 2022

TheBigAjenda: ALIYEKUWA MBUNGE WA BUSEGA DKT RAPHAEL CHEGENI AKITOA MTAZAMO KUHUSU MAPUNGUFU YA AWAMU YA TANO NA HII YA SITA.


Source: Star TV Habari
 
Ni kweli lakini kwa awamu hizi sivyo, watu wengi tu wamepewa nafasi za utumishi na hawakuwa watumishi. Anzia wakurugenzi wa halmashauri mpaka katibu wakuu!

Wanasiasa wameshavuruga huo utaratibu hivyo usikariri Mkuu.

Umesema kweli, huenda huyu jamaa amebaki na sheria zinavyotaka na sio uhalisia ulivyo. Niliona mwanajeshi amechaguliwa kwenda kuwa mkuu wa jeshi la magereza, huku ukurugenzi wa halmashauri wakipewa baadhi ya Makada wa CCM waliokosa ubunge, kama sehemu ya kuwapoza na kupandikiza uchama dola ndani ya Serikali.
 
Uteuzi wakuu wa wilaya ufuate sasa
 
Una maana aliteuliwa na kutangazwa hewani bila yeye kujulishwa? Kama ni hivyo basi uteuzi una walakini!
 
Ndebile ulimhola bhabha
 
Sure man...

Sijui shida i wapi, hii si mara ya kwanza au ya pili n.k kwa mamlaka kupangua gia za teuzi juu kwa juu kabla hata wahusika hawajasema alhamdulilah!
Kutakuwa na shida mahali au mhusika kagoma hataki hiyo nafasi...
 
Nadhani utasaidia wengi ambao hawamjui, Dk. Chegeni umeandika vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…