Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

Ubunge hata Mimi ningeumia ila pia jinsi alivyofekwa ile style ya wa mwisho kuwa wa kwanza!
Sasa mtu anayepigana aulate ubunge ndio Leo aje kuukataa ukuu wa mkoa ikiwa ndio nafasi nzuri ya kujipanga.
 
Nafasi za kuteuliwa hazina hayo mambo
Za kuteuliwa zipo za aina mbili, kuna ambazo unakuwa mtumishi wa serikali na kuna ambazo ni za kisiasa au yeyote yule kulingana na mahitaji. Katibu mkuu wa wizara anateuliwa lakini kigezo lazima utumishi wa umma sio vinginevyo.
 
Hana u smart wowote anaona ukuu wa mkoa utamnyima nafasi ya mbio zake za ubunge!! Anaona ukuu wa mkoa haulipi kama ubunge
Wote mnaropoka ropoka bila kuelewa undani wa haya mambo.
 
Kivipi mbona ghafla tena wametunyang'anya jembe letu Musoma
 
Kwani kuutaka ubunge badala ya ukuu wa mkoa ndio dharau??
Pumba tu.
Chegeni ana dharau mno hujiona yeye ndio yeye hataki ukuu wa mkoa anataka ubunge kamuulize Lowasa kilichomkuta baada ya kumdharau Kikwete Mwenyekiti CCM taifa akigombea uraisi aweza pita kura maini kugombea Uraisi CCM kuwa ana support kubwa!
 
Kuna DC kala nafasi ya RAS...inamana na maDC watasukwa upya. Sikilizieni UVCCM wanaenda kuula...kama.sio Chongolo sijui
 
Dharau
Haoni cheo cha mkuu wa mkoa cha maana anataka ubunge
Mkuu 'YEHODAYA', mimi sijui "dhrau" au kitu kingine chochote kumhusu Chegeni. Kama yuko hivyo, hilo siyo swali langu.

Kama anataka ubunge, kwani hapakuwa na mawasiliano yoyote kati yake na hao wateuzi? Hawa watu wanateuliwa tu hivi hivi na kutangazwa bila ya mawasiliano yoyote nao?
 
Hapa bongo hilo jambo halishindikani.

Hivi Prof Kitila mkumbo, alivyounga juhudi alipewa cheo gani.??
Profesa Mkumbo alikuwa mwajiriwa wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam pamoja na kwamba alikuwa ni mwanasiasa wa upinzani, chuo kikuu ni Shirika la Umma.
 
Raisi wala hahitaji awasiliane kama unafaa Nafasi fulani

Toka Tanzania ipate uhuru watu huwa surprised uteuzi akiwemo.Samia Suluhu Hasan alilia sana kusikia yeye mgombea Mwenza

Hata Phillip Mpango hakuambiwa kuwa yeye ndie atakuwa Makamu
 
Ole sendeka usimchukulie powa wiki iliyopita nilisimama masaa matatu pale langai simanjiro naelekea mirerani kusubiri ng'ombe zake zipite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…