Stratopause
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 751
- 1,461
Mi mtu anayefanya kitu kwa ushirikina kisingizio it means imeanzia huko ila ni ujinga kuamini uchawi mtu aliyesoma sana huwezi kukuta anawaza UJINGA KAMA HUOMtu kujivua utamaduni wake ngumu, inatakiwa kufanyiwa social engineering kabla hajatimiza umri wa miaka 4, lakini utegemee msomi aanze kutupa tunguli, 'mikoba' na imani zake zote akiwa na umri wa miaka 21 mwanafunzi mwaka wa kwanza chuo kikuu ni ngumu sana.
Sawa na umuambie mwanaCCM wakulelewa katika chipukizi, UVCCM hadi CCM ya wakubwa ajivue gamba wakati tayari ameshajitoa kifikra na akili yeye ni CCM daima dumu .
Acha ushabiki maandazi,Magufuli alikuwa hacheki na Wapuuzi!Safi, Hapa namkubali Samia, Ingekuwa kipindi cha yule egomaniac psychopath angempndisha cheo na kumfanya waziri kamili, huku akijivunia kuwa SIPANGIWI
Kiongozi wa umma unapopata kashfa nzito namna hii hekima ya kwanza ni kujiuzulu, Gekul angemwomba Mama kujiuzulu ili kupisha uchunguzi hata public ingemsikiliza ila kangojea kuwajibishwa kupisha hatua nyingine ni aibu kwake sasa.Mama ana legitimize character assassination za kisiasa kwenye mwamvuli wa accountability. Haya mambo huwa hayaishii hapo, yana tabia ya kukurudia hadi wewe uliefanya legitimization ikigundulika vinginevyo. Kinachoonekana hapo ni watu wanatengeneza faida za kisiasa na kukusanya mitaji ya kisiasa wakiwaza 2025. Hili sio geni maana hata mama alishawahi kuliongelea. Critical thinking lakini inatukumbusha kwamba kama Gekul katenguliwa ili awajibike basi kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa na wilaya husika pia zisiachwe. Ukiamua kucheza na nguruwe kwenye tope basi usiogope tena kuchafuka.
Chadema hakitoi manaibu mawaziri, hao ni kutoka ccmDuh
Hawa Manaibu Waziri kutoka Chadema Wana vituko sana 😂
Alianza Waitara sasa Gekui
Bado Watatu
Daud Albert Bashite ni nani?Acha ushabiki maandazi,Magufuli alikuwa hacheki na Wapuuzi!
Achaga uongo
Ingekuwa kipindi cha yule egomaniac pyschopth angempndisha cheo na kumfanya waziri kamili, huku akijivunia kuwa SIPANGIWI
Gekul ameonewa. Vijana wamekuwa wa hovyo sana siku hizi.
... sahihi. Alikuwa Chadema.Hakuwa chadema huyu? Ni swali tu
Ni muhimu pia kuchangia mijadala kwa nidhamu hasa ile inayogusa Wakubwa.JF na Twitter ziko acknowledged
Samia yumo humu na alisema.
Twitter alisema anapita sana hadi analijua lile jina la kule "Jamhuri ya Twitter"
Twitter ndio imefanya hadi kina Nape na wenzie wamejulikana walivyo weupe kichwani hadi kufunga comment section.
Very interactive and informative.
Mtu kuwa chawa lazima ujitoe ufahamu uwe kama zezeta vile. Bila kuwa zezeta huwezi kuwalinganisha Samia na Magufuli kwa kutumbua majipu.Safi, Hapa namkubali Samia, Ingekuwa kipindi cha yule egomaniac psychopath angempndisha cheo na kumfanya waziri kamili, huku akijivunia kuwa SIPANGIWI
Lakini je ni kweli huyo aliyekuwa Naibu Waziri alifanya kitendo hicho kikamilifu kama anavyoeleza mhanga?Apelekwe mahakamani kabisa
Lakini alimchekea Makonda, Sabaya, Kakoko nk?Acha ushabiki maandazi,Magufuli alikuwa hacheki na Wapuuzi!
Ashtakiwe tuKasagiwa kunguni hadi katoka,
Next stop ni kufunguliwa mashtaka
Jamalangu aliyemwangwa na mzigo huko Babati leo ni sherehe....Mzigo wa Bashiru Ali umetenguliwa