Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

Huu uongo. Kaji alitenguliwa toka mwaka juzi, akarudi kwenye mambo yake ya ukitengo huko idarani. Sasa hivi ndio kateuliwa kuwa DC.

Ukiwa kitengo unapaswa kufanya kazi yoyote utayopangiwa. Nafasi yako idarani ipo palepale
Sio kitengo tu bali hii iko ndani ya majeshi yote. Kazi yako ya kudumu iko palepale na uteuzi unakuwa Ni ajira mpya ndani ya ajira. So interms of salary unapokea yote miwili
 
Samia ana dharau jamani. Kaji kutoka kamishina wa Taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya hadi kuwa mkuu wa wilaya. Hatareee. Angempa walau ukuu wa mkoa au ukurugenzi wa mkoa basi.
Mamii usichojua kuwa hiyo sio demotion bali Ni ajira ndani ya ajira ya kudumu. Hapo Ni sawa na kupewa au kubadirishwa majukumu mapya while akiendelea na majukumu yake ya ukamishna kama kawaida. Walio ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama wanalielewa hili
 
Wabongo wengi ni watu wa porojo siku ziende. Kaji ni afisa wa idara, amewahi kuwa PSU. Hawa maafisa hufanya kazi popote anapopelekwa, hata umteua kuwa mtendaji wa Kijiji. Ni tofauti na mtu aliyefuja level ya DG wa idara
 
Sasa unakuta mtu anakwambia hiyo ni demotion. Raia ni raia tu mkuu😆😆
 
Hiyo yote ni kujikosha baada ya kumuondoa kwenye madawa ya kulevya na aliyemuweka kwa mbwembwe zote kufail mapema tu.Ningekuwa mimi Kaji ningeshukuru kisha nikakataa huo uteuzi kama Ali Maswanya alivyokataa uteuzi kipindi cha JPM.
Sema labda hana kazi nyingine.Kwani kabla ya kuwa Boss wa kitengo cha kuzuia madawa alikuwa wapi?
 
Zamani nafasi hizi waliteuliwa watu wa usalama kwaajili ya kupokea na kuchakata taarifa zote za kimkoa, bahati mbaya miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakiteuliwa makada kuchukua nafasi za uRAS🙌
Upo sahihi sana na walikuwa ni makatibu wa kamati ya usalama wa mkoa kwa hiyo ndo waandika minutes , hakuna kinachofanyika mkoani jamaa hakijui hata wa kumchoma mkuu wa mkoa ni yeye
 
Upo sahihi sana na walikuwa ni makatibu wa kamati ya usalama wa mkoa kwa hiyo ndo waandika minutes , hakuna kinachofanyika mkoani jamaa hakijui hata wa kumchoma mkuu wa mkoa ni yeye
Hili jambo la kuingiza siasa kwenye Utendaji ndiyo linaitafuna Nchi.

Mungu awape hekima Viongozi wetu kuweza kulitambua hili.
 
Samia ana dharau jamani. Kaji kutoka kamishina wa Taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya hadi kuwa mkuu wa wilaya. Hatareee. Angempa walau ukuu wa mkoa au ukurugenzi wa mkoa basi.
Unasema Kaji? Profesa Abel Makubi aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya, amekwenda kuwa Mkuu wa Hospitali ya MOI.

Hospitali yenyewe iko ndani ya Muhimbili na ina deal na mifupa tu
 
Acha uongo. Mwigulu alitenguliwa akiwa Kigoma huko bila taarifa wala nini.Wale viongozi wa chama cha walimu si juzi tu wamegomea ukuu wa wilaya na majina yalikuwa tayari mkekani.
Hivi na wale kama yule Kusaya alikuwa Katibu Mkuu Kilimo,akapelekwa kuwa Kamishina Madawa ya kulevya na Sasa ni Katibu tawala Mkoa,hii inakuaje?
 
UBAGUZI!!
Huwa nawashangaa saana wale ambao mtuakitajwa mzanzbari kwaoni ni ubaguzi. Yeye mwenyewe msiyetaka mzanzbari hajitaji mtanzania. Amesikika akisema namknukuu Mimi ni mzanzbari" kama ni ubaguzi anajibagua mwenyewe.
 
Wewe unayempinga si ndio ungeweka mkataba unaofanana na IGA ili jamaa aumbuke?

Amandla...
 
Hivi na wale kama yule Kusaya alikuwa Katibu Mkuu Kilimo,akapelekwa kuwa Kamishina Madawa ya kulevya na Sasa ni Katibu tawala Mkoa,hii inakuaje?
Katibu Tawala wa Mkoa ni kama Katibu Mkuu.

Amandla...
 
Hivi na wale kama yule Kusaya alikuwa Katibu Mkuu Kilimo,akapelekwa kuwa Kamishina Madawa ya kulevya na Sasa ni Katibu tawala Mkoa,hii inakuaje?
Jibu lipo hapo.Kashushwa cheo .
 
Unasema Kaji? Profesa Abel Makubi aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya, amekwenda kuwa Mkuu wa Hospitali ya MOI.

Hospitali yenyewe iko ndani ya Muhimbili na ina deal na mifupa tu
Bora hata yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…