Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

Teuzi Hazina Hadhi Toka Kamishna Generali Hadi DC
 
Bonge demotion .....sasa sababu yeye Mtumishi wa umma hana jinsi .......kwenda tu
 
Samia ana dharau jamani. Kaji kutoka kamishina wa Taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya hadi kuwa mkuu wa wilaya. Hatareee. Angempa walau ukuu wa mkoa au ukurugenzi wa mkoa basi.
Kwa ule msoto aliokula baada ya kifo cha JPM jumulisha sekeseke alilopata kwa wana geti jeusi ingawa alikuwa miongoni mwao na mwenye sauti kwelikweli, ashukuru kwa hiyo nafasi kwa kuonwa tena. Na imani huko mbeleni atapewa nafasi kubwa zaidi.

Nakumbuka ndio ulikuwa utenguzi wa kwanza kwenye pdf la Mama baada ya kuingia jumba jeupe.
 
Mobhare Matinyi eeeeeh kuelekea panapokustahili kapteni
 
Kwa ule msoto aliokula baada ya kifo cha JPM jumulisha sekeseke alilopata kwa wana geti jeusi ingawa alikuwa miongoni mwao na mwenye sauti kwelikweli, ashukuru kwa hiyo nafasi kwa kuonwa tena. Na imani huko mbeleni atapewa nafasi kubwa zaidi.

Nakumbuka ndio ulikuwa utenguzi wa kwanza kwenye pdf la Mama baada ya kuingia jumba jeupe.
Ndiyo,itakuwa aliwabania sana wauza madawa wale untouchable wale wenye ukaribu na JK.
 
Ndiyo,itakuwa aliwabania sana wauza madawa wale untouchable wale wenye ukaribu na JK.
Ila alikuwa mlaji mzuri sana wa Rushwa, dharau, jeuri na gangari kwelikweli kila la kheri kwenye utumishi wake mpya. Muhimu kwake ni kutulia aache ubabe usio na tija huwenda mama akamkumbuka kwa nafasi ya juu zaidi huko mbele na hapo itakuwa kawekwa kimtego kujua kama kabadilika ama ndio ndio kaji yuleyule kubwa la maadui.
 
Mwacheni Rais afanye kazi yake. Anapitia taarifa nyingi. Hao wawili wanaweza kuwa na matatizo yako.
Endelea President.
Tumwache afanye kazi kwani tumemshika kichwa ?

Dunia ya leo kusema kiongozi asikosolewe ni mgando wa mawazo, unaishi kwenye stone age

Your prefrontal cortex is needed for evolutionary studies
 
Ila alikuwa mlaji mzuri sana wa Rushwa, dharau, jeuri na gangari kwelikweli kila la kheri kwenye utumishi wake mpya. Muhimu kwake ni kutulia aache ubabe usio na tija huwenda mama akamkumbuka kwa nafasi ya juu zaidi huko mbele na hapo itakuwa kawekwa kimtego kujua kama kabadilika ama ndio ndio kaji yuleyule kubwa la maadui.
Kwani CCM kuna asiekuwa mlaji,basi tu vile itakuwa hakuwa upande wa watu wa Samia.Maana hata wasio untouchable wa Samia wapo wengi tu walaji.Na wanakula kweli kweli.
 
Nani akufanyie mbinu mjinga kama wewe. Wewe unadhani unaweza kumfanya nini rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hali yako hapo ulipo?
Tunahitaji vipengele vya mkataba vya kuiuza Tanganyika virekebishwe au viondolewe
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Watawala watujibu haya bila kuruka kipengele hata kimoja hapo
 
Samia ana dharau jamani. Kaji kutoka kamishina wa Taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya hadi kuwa mkuu wa wilaya. Hatareee. Angempa walau ukuu wa mkoa au ukurugenzi wa mkoa basi.
Kabisa, hata Gerald Kusaya alipelekwa Katibu Tawala mkoa wa Rukwa.
Samia ana dharau jamani. Kaji kutoka kamishina wa Taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya hadi kuwa mkuu wa wilaya. Hatareee. Angempa walau ukuu wa mkoa au ukurugenzi wa mkoa basi.
 
Mashujaa wamekataa upuuzi na upumbavu wa bandari wamekemea uzwazwa wa bibi yao.
 
Back
Top Bottom