Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

Labda alitaka kumaanisha RAS, maana kiprotokali huyu ndiye mtendaji mkuu/ accounting officer wa Mkoa
Yes, labda. Of course hawa RAS kabla ya kuitwa hivyo na utawala wa Mkapa walikuwa wakiitwa Wakurugenzi wa Maendeleo wa Mkoa ama Regional Development Director (RDD).
 
Mtu kashalala saa hizi kapasiwa na nguo za kesho za kazini, anamka asubuhi akiwa anamsubiria dereva wake aje amchukue anashangaa kupata breaking news kuwa katumbuliwa
Dah hatari sana, maisha haya ya hofu alituishisha mwenda zake du, sitayasahau.
 
Yes, labda. Of course hawa RAS kabla ya kuitwa hivyo na utawala wa Mkapa walikuwa wakiitwa Wakurugenzi wa Maendeleo wa Mkoa ama Regional Development Director (RDD).
Zamani nafasi hizi waliteuliwa watu wa usalama kwaajili ya kupokea na kuchakata taarifa zote za kimkoa, bahati mbaya miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakiteuliwa makada kuchukua nafasi za uRAS🙌
 
Samia ana dharau jamani. Kaji kutoka kamishina wa Taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya hadi kuwa mkuu wa wilaya. Hatareee. Angempa walau ukuu wa mkoa au ukurugenzi wa mkoa basi.
Watu wengi ambayo wanajicho kama la.mama Huwa wanadharau kinoma. Wanakuwa kama hawakuoni lakini subiria speed peni na karatasi.
Kuna Binti mmoja alikuwa montress wetu wakati tunasoma akigeuza kichwa tu kakuona hata ukiwa unanong'ona na mwenzako ujue jina lako litakiwepo kwa wapiga kelele darasani
 
Hii mbinu haiwezi kuhamisha mjadala uliopo, ni mbinu ya kijinga..., tunataka vipengele vya mkataba vya kuiuza Tanganyika virekebishwe
Kabisa. Hizi teuzi/tenguzi zinachosha masikioni.
 
Samia ana dharau jamani. Kaji kutoka kamishina wa Taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya hadi kuwa mkuu wa wilaya. Hatareee. Angempa walau ukuu wa mkoa au ukurugenzi wa mkoa basi.
Kaji ni mtoto wa Justice of Appeal kaji?
 
Angempa hata ukuu wa mkoa.
sidhani kama ni sawa , unamtoa mtu kutoka national security council ,mpaka kurudi chini kabisa district level
Mara nyingi watu wa sampuli hizi wakikosea wanatupwq ubalozini wakatulie mpaka wastaafu
 
sidhani kama ni sawa , unamtoa mtu kutoka national security council ,mpaka kurudi chini kabisa district level
Mara nyingi watu wa sampuli hizi wakikosea wanatupwq ubalozini wakatulie mpaka wastaafu
Sijui ukute alipokuwa kamishina aliwashugulikia madealer wa rizimoko.
 
Wewd ndio ni unamawazo hayo lakini kabla ya mtu kuteuliwa huwa anajulishwa kwanza na kuna makaratasi anasaini kukubali uteuzi, vivo hivyo kwa anaetenguliwa taarifa anapewa hata kabla haijawa public.
Mbona wale Waalim wawili wa CWT waliteuliwa Ukuu wa Wilaya na wakagoma......
 
Hii mbinu haiwezi kuhamisha mjadala uliopo, ni mbinu ya kijinga..., tunataka vipengele vya mkataba vya kuiuza Tanganyika virekebishwe
Nani akufanyie mbinu mjinga kama wewe. Wewe unadhani unaweza kumfanya nini rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hali yako hapo ulipo?
 
1.Mobhare Holmes Matinyi
2. James Wilbert Kaji

Hawa wametokea wapi kwenda kuwa wakuu wa Wilaya???

Wametokea CWT au UVCCM???

Je wana sifa za kuwa wakuu wa wilaya???

Tunahitaji katiba mpya kwa kweli ili wananchi wenyewe wawe na uwezo wa mkumchagua mkuu wawilaya yao,

hii wananchi wa wilaya fulani wanalala na kuamka wanakutana na mkuu wa wilaya mgeni na wa zamani hayupo na hajulikani kaelekea wapi na aliyeletwa hajulikani katokea wapi na ana sifa gani za kupewa ukuu wa wilaya IMEPITWA NA WAKATI kwa karne hii ya 21.

Watanzania tumesoma na kuelimika hila hili hatulielewi hata kidogo.
 
VYEO VYA HOVYO KABISA VINAVYOCHOCHEA UMASIKINI.

Mkuu WA wilaya ANAKAZIA ya uenyekiti WA kamati ya ulinzi na usalama.

HAJAWAHI kusoma popote MASUALA ya ulinzi na usalama.

Anakuwa mwenyekiti mbele ya.
Mkuu WA POLISI
Mkuu WA magereza
Mkuu WA uhamiaji.
Afsa usalma WA wilaya.

Wapo karibu 300.
Mishahara na posho magari.
Bado wakostaaafu Wana ma BILIONI.

NCHI YA HOVYO SANA HII
 
Back
Top Bottom