Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

Kama huyu James Wilbert Kaji ni yule wa TISS aliyewahi kuwa PSU kabla ya kwenda Mbeya kuwa ama RSO au DSO kisha akaja kuwa Kamishina Mkuu wa DCEA na Kuharibu mno huku akichukiwa na Watendaji wengi na akiwa na Sifa Kuu ya Ujeuri na Dharau kwakuwa alikuwa anatokea Mkoa na Eneo atokalo Hayati Magufuli na wana Undugu nae ndiyo Kateuliwa na Mheshimiwa Rais Samia sasa taratibu GENTAMYCINE naanza Kuamini Utawala huu wa sasa una Mapungufu makubwa yanayoelekea Kuihatarisha nchi na Ustawi wake Siku si nyingi.

Nimesikitika sana na mno. Kazi ipo!!!
Acha nyege za kijinga!
 
Wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 02 Julai, 2023 amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya kama ifuatavyo:

1) Ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mwanahamisi Athumani Munkunda na kumteua Mobhare Holmes Matinyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.

2) Ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kilindi, Abel Yeji Busalama. Amemhamisha kituo Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini, Hashim Shaib Mgandilwa kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilindi.

3) Amemteua James Wilbert Kaji kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini.
Wakuu wa Wiku​
Wakuu wa Wilaya Tz karne hii wa kazi gani??
 
Wewd ndio ni unamawazo hayo lakini kabla ya mtu kuteuliwa huwa anajulishwa kwanza na kuna makaratasi anasaini kukubali uteuzi, vivo hivyo kwa anaetenguliwa taarifa anapewa hata kabla haijawa public.
Unamaanisha wale viongozi wa CWT walioteuliwa na kukataa uteuzi walifahamishwa wakasaini ila baadae wakabadili gia angani? Acha kupotosha kwa makusudi.
 
Katiba mbovu sn hii, teua tengua, sijui hamisha zote ni gharama kubwa sn, kumteua DC siyo chini ya milioni 30 ni zaidi ya darasa asee
 
Hapo ndio nazani kabobea kwa kutengua n kuteua. Yani mpk atakua anaota
 
Jasusi kubwa Matinyi hatimae anaanza kurudishwa taratibu kwenye system [emoji23][emoji23] Magu alitaka kumuua bure
 
Samia ana dharau jamani. Kaji kutoka kamishina wa Taasisi ya kuzuia madawa ya kulevya hadi kuwa mkuu wa wilaya. Hatareee. Angempa walau ukuu wa mkoa au ukurugenzi wa mkoa basi.
Hiyo yote ni kujikosha baada ya kumuondoa kwenye madawa ya kulevya na aliyemuweka kwa mbwembwe zote kufail mapema tu.Ningekuwa mimi Kaji ningeshukuru kisha nikakataa huo uteuzi kama Ali Maswanya alivyokataa uteuzi kipindi cha JPM.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 02 Julai, 2023 amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya kama ifuatavyo:

1) Ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mwanahamisi Athumani Munkunda na kumteua Mobhare Holmes Matinyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.

2) Ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kilindi, Abel Yeji Busalama. Amemhamisha kituo Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini, Hashim Shaib Mgandilwa kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilindi.

3) Amemteua James Wilbert Kaji kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mjini.

Na wabunge wameongezewa mshahara mfahamu hilo kwa mwezi,sasa watavuta MILIONI 18 kwa mwezi.WATANZANIA MUPO PALE.KUJIPENDEKEZA OYEEEEEEE.
 
Mwacheni Rais afanye kazi yake. Anapitia taarifa nyingi. Hao wawili wanaweza kuwa na matatizo yako.
Endelea President.
Maraisi hukosea pia. Hao walioondolewa Leo usishangae baada ya mwezi wakateuliwa kwingine
 
Watu wengi ambayo wanajicho kama la.mama Huwa wanadharau kinoma. Wanakuwa kama hawakuoni lakini subiria speed peni na karatasi.
Kuna Binti mmoja alikuwa montress wetu wakati tunasoma akigeuza kichwa tu kakuona hata ukiwa unanong'ona na mwenzako ujue jina lako litakiwepo kwa wapiga kelele darasani
Huu uongo. Kaji alitenguliwa toka mwaka juzi, akarudi kwenye mambo yake ya ukitengo huko idarani. Sasa hivi ndio kateuliwa kuwa DC.

Ukiwa kitengo unapaswa kufanya kazi yoyote utayopangiwa. Nafasi yako idarani ipo palepale
 
Hajawahi kwenda ikulu kama katibu, uteuzi ulitenguliwa kabla ya kuapishwa
Kisa cha uteuzi kutenguliwa ni nini mkuu?
ndoto2020 anakwambia mama kamuweka pale kwasababu anamuhitaji wakati mi nakumbuka jamaa aligomea ule uteuzi na khomba kustaafishwa mama akamtengua. Na Sasa sijui yuko wapi
 
Hayo ya ndani. Inasemekana(Sina uhakika) alikataa huo uteuzi wa kuwa katibu ikulu
Umeniwahi wakati naedit my previous post. Ni kweli aligomea ule uteuzi, it was disclosed by some of them 😀
 
Back
Top Bottom