Rais Samia atetemesha, apongezwa kila kona kwa uzalendo wake wa kutanguliza mbele taifa

Wewe si chawa ni kupe kabisa. Mtu hataki umsifie kinafiki lakini hukomi!
 
Wenzio wengi wamesifia sana na kuweka namba sana wamechoka wenyewe baada ya kuona hawateuliwi wakabadiri gear.
Njia nzuri ya mkato ukamfute viatu na kulamba miguu kama utapata nafasi
 
Rais Samia amekataa kusifiwa kwanini umeng'ang'ania kumsifu.
 
Mkuu anaona aibu kuacha kumeza anashindwa kutema anashindwa.
Mimi Ni mzalendo kwa Taifa langu ndio maana nampongeza Rais Samia kwa uzalendo Wake kwa Taifa letu hasa kwa kuzingatia kuwa nilimpigia kura na anatekeleza kile alichoahidi kupitia ilani ya ccm. Mimi Kama mkulima nimeguswa na Utendaji kazi wake kupitia mbolea za Ruzuku lakini pia kwa namna ambavyo soko la mazao yetu limekuwa zuri na la uhakika na hivyo kutufanya wakulima kunufaika na jasho letu
 
Rais Samia amekataa kusifiwa kwanini umeng'ang'ania kumsifu.
Nitaendelea kumpongeza Rais Samia na serikali Yake kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya katika kututumikia watanzania. Wala siyo jinai maana nilimpigia kura na hivyo Sina budi kumpongeza na kumsifia pale anapofanya vizuri kwa kile alichoahidi kupitia ilani ya CCM
 
Wenzio wengi wamesifia sana na kuweka namba sana wamechoka wenyewe baada ya kuona hawateuliwi wakabadiri gear.
Njia nzuri ya mkato ukamfute viatu na kulamba miguu kama utapata nafasi
Kwani wapi nilipoandika kuwa hii Ni barua ya maombi
 
 
Well said Rais Samia Suluhu amewapa kipaumbele wananchi wa hali ya chini sasa anaendelea kutekeleza miradi inayowalenga direct watanzania
 
Pumzika kaka.
 
Hivi hizi namba za simu zinazowekwa na hawa chawa humu ni active au ni wale wazee wa tuma PESA kwenye namba hii..

Isije ikawa wamehamia kwenye uchawa wanapiga utapeli..
 

Unajichoresha Sana.
 
Mwambie walamba asali wanaupiga mwingi ,wamejenga bonge la daraja kama la Queens kwa Bilioni Saba na Milioni mia mbili juu.
 
Hataki siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…