Rais Samia atetemesha, apongezwa kila kona kwa uzalendo wake wa kutanguliza mbele taifa

Naandika kwa hiyari na siyo kutafuta chochote Bali Nasukumwa na uzalendo na kuridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais
Lakini hizo sifa unazompa hazimsaidii kitu ndio maana hataki bora umpe mkeo hizo sifa maana kuna kitu unakipata ila kwa Mh. Samia atakupa nini sasa.
 
Ssa mbona kina ya Boma yangu sijasikia sauti watu wakimpongeza huenda kwenye kona ya Boma yako chawa mkubwa wwe
 
Hata awamu ile kulikua na mapambio zaid ya haya 🤣🤣🤣🤣
 
UVCCM muongezeeni huyu jamaa mshahara.
 
Hata awamu ile kulikua na mapambio zaid ya haya 🤣🤣🤣🤣
Kazi ya mh Rais inaonekana machoni pa kila mtanzania na imemgusa kila mtanzania.Ndio sababu ya kupata uungwaji mkono kila Kona ya nchi yetu na hata nje ya Tanzania Rais wetu anakubalika Sana ndio sababu ya kuona mafuriko ya wawekezaji na watalii wakimiminika nchini baada ya kushawishiwa na mh Rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…