Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Nadhani anaangalia sifa ya mtu na si Dini,pia nadhani wakristo wasomi ni wengi kuliko Muslims kutoka na historia ya Elimu dunia
 
Rais Samia Suluhu alisema atakuja na mkeka wake mpya lengo ikiwa ni kuhakikisha anapata wasaidizi ambao watatufikisha katika maendeleo
 
Wewe ndio mdini sio yy
 
Umeleta uzi mzuri tusome na kutathmini wateuliwa, halafu ukaamua kuuharibu kwa kuingiza udini, achana na hii mambo za dini mkuu.
 
Kama mlivyoona mkeka wa Samia,kuna Hamidu Shaka muunguja huyu kawa mkuu wa wilaya Kilosa,kuna Jafar pia muunguja kawa mkuu wa wilaya huku Bara.

Hivi Samia kweli kati ya wabara million 60+ umekosa kabisa watu wa kuwa wakuu wa wilaya hadi uchukue kutoka Zanzibar?

Ninajiuliza tu hivi mbara anaweza kuwa mkuu wa wilaya/ Mkoa Zanzibar.

Kwa kweli hii hapana.
 
Kama mlivyoona mkeka wa Samia,kuna Hamidu Shaka muunguja huyu kawa mkuu wa wilaya Kilosa,kuna Jafar pia muunguja kawa mkuu wa wilaya huku Bara...
Simple, tumnyime kura 2025! As simple as that! lakini je kabla ya kwenda hukko, sheria si inamruhusu....haya mambo ya muungano yanamruhusu? kama yanamruhusu basi acha ikae hivyo. "Mungu" wa tanzania by Lisu!
 
EDWARD JONAS WAMEKUSOGEZA DAR ULIKUWA SAME SAFI SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…