Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

DED wa Kigamboni??Yaani huyo Sara Msafiri kweli itabidi aombe watu msamaha kwa sababu alikuwa hana adabu na wala staha alikuwa anafanya ushenzi bila kuwa na aibu na alikuwa na yule Makonda kudhulumu watu Kigamboni

Alifanyaje??
 
Kama mlivyoona mkeka wa Samia,kuna Hamidu Shaka muunguja huyu kawa mkuu wa wilaya Kilosa,kuna Jafar pia muunguja kawa mkuu wa wilaya huku Bara.

Hivi Samia kweli kati ya wabara million 60+ umekosa kabisa watu wa kuwa wakuu wa wilaya hadi uchukue kutoka Zanzibar?

Ninajiuliza tu hivi mbara anaweza kuwa mkuu wa wilaya/ Mkoa Zanzibar.

Kwa kweli hii hapana.

..idadi ya Waislamu ktk hizo nafasi hairidhishi kabisa.
 
..idadi ya Waislamu ktk hizo nafasi hairidhishi kabisa.
Kati ya vitu huwa siangalii kwenye ukuu wa wilaya ni dini. Maana ni wengi mno ni ngumu kujua yupi ni dini ipi.Kidogo mawaziri,wakuu wa mikoa ni rahisi kujua.Wapo wachache.
 
Back
Top Bottom