Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

dah bosi Wangu Ludigija
Huyo alikuwa anasema Magufuli ni mjomba wake akawekwa Kigamboni Mkurugenzi alitudhulumu sana mali zetu alikuwa anatuma afisa ardhi kupima ardhi za watu kwa mabavu na dereva wake alikuwa anatembeza wateja kwenye ardhi alizopora tunashangaa hajafukuzwa
 
Hawana kitu ,kila kitu bure nyumba hadi usafiri,hela ya likizo,bima bure, hela za vikao,pia status inamsaidia popote pale kufanikisha mambo yake.
Kweli unawajua vizuri ma DC na RC wa Tanzania
 
Sara Msafiri malkia wa Kigamboni akaenda kibaha hayupo?? Hasara aliyotia Tanzania kwa ujinga wake ndio mzigo kwa walipa kodi
 
Hawana kitu ,kila kitu bure nyumba hadi usafiri,hela ya likizo,bima bure, hela za vikao,pia status inamsaidia popote pale kufanikisha mambo yake.
Off course but Bora nifanye kazi yangu ya kuajiriwa kuliko hizo ambazo hazina uhakika japo Zina kupa guarantee ya mapesa mengi yanatokana na hadhi hiyo na kiukweli hawategemea salary hizo maana mapesa haramu ni mengi
 
Wanahabari TBC huwa wanapata teuzi sana. Nimeona pia Japhar Haniu poa kapata
 
Tobaaaaaah shougaaa angu hayupo tena kwa list, uwiiiiih yeye atalamba asali lini? Mmmmh

Ila mlongo angu Kidoti kupelekwa Korogwe sijapendaaa, yulee ni wa kubaki hapa town au maeneo ya karibu aaaah.
KOROGWE nako Town
 
Walioachwa je mkeka wao uwapi...hapo ndio ujue wewe ni mbumbu mbu mbususu
 
Mkuu wa Wilaya Simalenga aliyetuhumiwa kumpiga na kumjeruhi msichana anaadhibiwa kwa kuhamishwa kituo? Ni ujumbe gani unaotumwa? Kuwa ruksa kwa viongozi wa kisiasa kuwapiga watoto? Inasikitisha sana.

Amandla...
 
Zainab karudishwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Pangani ambapo pia ndio alipoanzia wadhifa huo,ni mke wa Waziri Jumaa Aweso ambae pia ni Mbunge wa Pangani,hii haitakua na conflict of interest kiutendaji?
 
Mpaka leo watu wanawaza ukristo na uislamu duu.
Kwa humu JF teuzi nyingi za raisi zikiwa zimeelemea kwa waislamu, basi anaitwa mdini

Ikiwa teuzi zimeelemea kwa upande wa wakristo, member wote wanaufyata.

Ona sasa, raisi kateua wakuu wa wilaya wapya 37, 6 kati ya hao ni waislamu, 31 ni wakristo lakini huwezi sikia ajenda ya udini hapa. Na hutokuja sikia waislamu wa humu JF wakilalamikia udini ktk hili, wapo kimyaaa wanaendelea na harakati zao kama kawa.

Great Thinkers wameshanielewa [emoji41]
 
Zainab karudishwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Pangani ambapo pia ndio alipoanzia wadhifa huo,ni mke wa Waziri Jumaa Aweso ambae pia ni Mbunge wa Pangani,hii haitakua na conflict of interest kiutendaji?
Kurahisisha kazi.....
 
Alikuwa na mdomo mchafu Sana, wanakuwa wamemfanyizia
Hari yake si nzuri sana na huenda ni matendo yake maana watu wengi wameumizwa sana na maamuzi yake yasiyo fair hata kidogo.

Kwenye hilo kapu wanaougulia sahivi yuko mmama mwingine wa chama kata fulani naye yuko hoi, pia za ndani na DED naye mambo yao ni magumu
 
DED wa Kigamboni??Yaani huyo Sara Msafiri kweli itabidi aombe watu msamaha kwa sababu alikuwa hana adabu na wala staha alikuwa anafanya ushenzi bila kuwa na aibu na alikuwa na yule Makonda kudhulumu watu Kigamboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…