Kama mlivyoona mkeka wa Samia,kuna Hamidu Shaka muunguja huyu kawa mkuu wa wilaya Kilosa,kuna Jafar pia muunguja kawa mkuu wa wilaya huku Bara.
Hivi Samia kweli kati ya wabara million 60+ umekosa kabisa watu wa kuwa wakuu wa wilaya hadi uchukue kutoka Zanzibar?
Ninajiuliza tu hivi mbara anaweza kuwa mkuu wa wilaya/ Mkoa Zanzibar.
Kwa kweli hii hapana.