Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Hao wapya namba nane hapo Grace Kingalame si mwandishi wa habari huyo? Au wanafanania majina.
Juma Issa Chikoka kabaki, ni yule mchekeshaji wa zamani na huwa naamini anafanya kazi vizuri.

Wake wa vigogo naona wanabaki na hawapelekwi mbalimbali uko Tandahimba.
Na yule Nick wa Weusi jina lake nani sijui, vipi tena
 
Nick mwanangu amesogezwa mjini KIBAHA sasa
 
Back
Top Bottom