ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
abisa kabisa ma-genius hawatakiwi Nchi hii !True say hili Taifa lina vichwa shida ni moja mfumo haupendi vichwa ila ndio mzee ref to Prof Assad no comment ni genius ila check kilicho mkuta siasa ina nguvu kuliko wasomi
Hiyo ndiyo leadership. The process of enabling a group of people to work together to achieve a common goal.Kazi ipo, kumbe mtu anaweza kujivua uraisi for minutes na katiba inaruhusu!
Sema unatania kuhusu Mchechu😀! Inabidi nicheke kidogo manake nakumbuka nimewahi kufanya kazi na jamaa mmoja hivi! Mkuu, kwanza yule jamaa ukiambiwa amesoma vyuo vya TZ, tena wala sio UDSM unaweza kukataa!Na hata ukiamini alisoma Bongo utakuwa ni kama sie wengine ambao tulikuwa tunaamini hawa ni wale wa GPA ya 4.5+. Sasa siku moja nikamuuliza kwanini aliishia under grad peke yake akaniambia aliomba kusoma Masters UDSM lakini kwa kozi ambayo aliomba wakamtakalia kwa kigezo kwamba alitakiwa awe na angalau GPA ya 3.5! Sikutaka kumchimba manake ilitosha kujua jamaa huenda alikuwa Gent Pass aka Karai au Second Lower! Lakini ndo kama alivyosema TumainiEl hapo juu, Taifa lina aleji na real big brains kwa sababu hata yule jamaa alipigwa jungu hadi akaacha kazi! Mwezi uliopita nimekutana nae Dodoma yaani hana mbele wala nyuma lakini ana project yake kwenye PC, na akikudadavulia hapo unaiona potential yake ingawaje kwa project kama ile hata serikali yenyewe haina ubavu wa kuifanya ingawaje mwenyewe anaamini inawezekana, na ipo siku ataifanya😀😀! Sasa sijui ndo keshadata kwa kutokuwa na kazi wala shughuli yoyote kwa muda mrefu; so sad!GPA haifanyi kazi bali ni utashi wa mtu binafsi tu. Huyo Mchechu mwenyewe akiwa UDSM ame graduate na karai (C)
Umekariri definition za CIVICS, kweli uko vizuri we CHAWA.Hiyo ndiyo leadership. The process of enabling a group of people to work together to achieve a common goal.
This definition emphasizes the importance of collaboration and teamwork in leadership
Mkuu kwa uelewa wangu naona kweli uhaba wa shilingi upo, hapa nilipo mfukoni sina shilingi napiga mahesabu nile nini ili nipige pasi ndefu hadi usikuJamani, na usomi wote huu mimi nashindwaje kuelewa ‘uhaba wa shillingi’? , ndio kitu gani hiki?
Tulizaga uelewe vizuri alichozungumzia mh. RaisWakuu,
Kumbe nchi ina uhaba wa sarafu za Shilingi na hatuambiwi?
Siku ya Leo akiwa msibani kwa Lawrence Mafuru Rais Samia alikumbushia amekumbushia kipindi ambacho kulikuwa na uhaba wa Shilingi na Mafuru alivyohusika katika kusaidia taifa kupita katika kipindi hiko.
"Badala ya kulalamika Nchi haina dola nimesikia juzi Wazalishaji wanalalmika Nchi haina shilingi, sasa mpango wa kurudisha shilingi
Ndugu yetu ameondoka nitawatumia waliokuwepo, la pili tulikumbwa na changamoto ya miradi katika sekta ya ujenzi na nikaita mkutano pale Zanzibar katika kikao kile tulijadili mengi mwisho nikawaambia katika hali kama hii tuliyofika kati yenu mmoja angekuwa Rais mngeamuaje na nikasema leo najivua Urais sasa hivi nampa Mafuru
Mafuru nyanyuka wewe sasa ndio Rais kwenye hali kama hii ungefanyaje?"
Rais Samia aliendelea kwa kusema:
"Alisimama kwa unyeyekevu mkubwa akaniambia Mheshimiwa Mimi si Rais na Urais uko mbali nami lakini katika hali kama hii akatoa mchango wake ambazo hakika ulitutoa pal tulipo tukaweza kusonga mbele"
View attachment 3152488
Unamaanisha uhaba wa mzunguko wa fedha? Ndio uhaba wa shillingi?Mkuu kwa uelewa wangu naona kweli uhaba wa shilingi upo, hapa nilipo mfukoni sina shilingi napiga mahesabu nile nini ili nipige pasi ndefu hadi usiku
Alikuwa na maana ya kwamba atoe muongozo kwa uhuru kana kwamba yeye ndiye final say ili wafahamu take yake.Kazi ipo, kumbe mtu anaweza kujivua uraisi for minutes na katiba inaruhusu!
Hata la Saba sikumaliza !! Wewe pimbi wacha kunikweza kumipeleka Form IVUmekariri definition za CIVICS, kweli uko vizuri we CHAWA.
Fom Foo ulipata divisheni ngapi?
Ngoja nijifanye nimekufa ili nisikie jinsi watu watakavyosema mazuri yangu japp kidogo.Africa kufa usifiwe ishi ulaumiwe
Jiwe na CCM walimdanganya akigombea ubunge ashinde watampa wizara ya fedha na uchumi. Jamaa angepata tu sema kabila lake lilimponza.Charles Kimei
Waziri ni political figure tu hafanyi chochote, kwenye wizara watendaji ni makatibu wakuu na wakurugenzi wa idara katika wizara na team zao. Waziri anamezeashwa tu MA report akatapike kwenye publicWakati mwingine wanasiasa wanakuwaga na mbwembwe kibao kumbe Kazi inafanywa na Watu wengine kabisa
Sijawahi kumsikia Mafuru akisema hadharani nimefanya hivi na vile Nasi tuliamini mambo Yote yalifanywa na Mawaziri wa Fedha na yule wa Uchumi
Ukimya nao ni mzuri
RIP Mafuru
Lugha ya pichaKazi ipo, kumbe mtu anaweza kujivua uraisi for minutes na katiba inaruhusu!
Shida ipo kwa wanasiasa, hasa Wabunge...kumpa sifa Rais hata kwa majukumu ambayo yaliwahusu wao wenyewe!Wakati mwingine wanasiasa wanakuwaga na mbwembwe kibao kumbe Kazi inafanywa na Watu wengine kabisa
Sijawahi kumsikia Mafuru akisema hadharani nimefanya hivi na vile Nasi tuliamini mambo Yote yalifanywa na Mawaziri wa Fedha na yule wa Uchumi
Ukimya nao ni mzuri
RIP Mafuru