Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tundu Lissu, mwamba kabisa. Binafsi namkubali sana, moja ya watu smart kabisa kupata kutokea nchi hii.

Rais hakuwa na nia mbaya, kuitwa Simba ni maana ya kuwa anamkubali sana, ni vile tu mifumo yao ipo tofauti.
 
Njaa humsababisha Simba dume awe na hasira sana....

Akitafutiwa chakula na Simba jike huanza kula kwa haraka mno....akishiba tu anatulia....[emoji1787][emoji1787]
 
Mwenye jina atapokea kama alivyopokea pesa zao pia! 😀
 
Kiukweli Samia ana mapenzi makubwa mno na Lissu ukirejea ile aliyokamtembelea Nairobi ila sema muda mwingine Lissu ana lugha kali mno dhidi ya samia
 
Soon Lisu anajiunga CCM,Heshima kubwa Sanaa hii.Kunakitu chini ya kapetiii matter of time.
 
Back
Top Bottom