Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kwan Mkuu P anasemaje????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina neno ndugu yangu mtanzania.Lucas Mwashambwa sema neno...
[emoji1787][emoji1787]Kwani Rais haruhusiwi kutania ama
Simba anajulikana uwezo wake ila yule alikuwa na hasira anavyozunguka zunguka ndani
Ndio Rais akauliza amekula?
Tatizo simba huyo anafugwa
Umebubujikwa na machozi ya furaha au huzuni!!???Sina neno ndugu yangu mtanzania.
True say.Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan anamkubali sana Tundu Lissu ni vile tu anashindwa namna ya kumuingilia maana uwezo binafsi wa Lissu ni zaidi ya baraza lake lote la Mawaziri..