Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma.

Ndege hiyo itabeba watu takribani 70 ikiwa ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kuwatoa Dar na kuwapeleka Dodoma kwa ajili ya mazishi.
 
John Malecela sio mtu mdogo Tz
Wengi hawajui mana hawatafuti maarifa wanakimbiloa uchawa..fikiria mtu ana lalamikia kitabu kinachomjadili kiongozi fulani bila hata kukosoma? Ukimuliza atakwambia ana masters ni viroja juu ya viroja. Yaani ukimprnda mtu asiandikwe au anayetoa opinion tofauti na wewe unamtukana! Hiyo ndiyo Tanzania
 
Rest well Lembebez🙏
 
Mbona kama una ghubu? Kwani lazima tusome kitabu chako kilichokudodea!!!! Kitunze au uwape ndugu zako wakisome.....usitulaumu kwa ugomvi wenu
 
Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma.

Ndege hiyo itabeba watu takribani 70 ikiwa ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kuwatoa Dar na kuwapeleka Dodoma kwa ajili ya mazishi.
Waziri mkuu mstaafu Malecela. Aliyekufa ni mwanae...Malecela. Unategemea hilo liwe la ajabu?
 
Back
Top Bottom