Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Wengi hawajui mana hawatafuti maarifa wanakimbiloa uchawa..fikiria mtu ana lalamikia kitabu kinachomjadili kiongozi fulani bila hata kukosoma? Ukimuliza atakwambia ana masters ni viroja juu ya viroja. Yaani ukimprnda mtu asiandikwe au anayetoa opinion tofauti na wewe unamtukana! Hiyo ndiyo TanzaniaJohn Malecela sio mtu mdogo Tz
Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma.
Ndege hiyo itabeba watu takribani 70 ikiwa ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kuwatoa Dar na kuwapeleka Dodoma kwa ajili ya mazishi.
Hajakosea, Malecela ni mtu mzitoNi sawa, maana ni mtoto wa makamu wa Rais wa zamani
Mbona kama una ghubu? Kwani lazima tusome kitabu chako kilichokudodea!!!! Kitunze au uwape ndugu zako wakisome.....usitulaumu kwa ugomvi wenuWengi hawajui mana hawatafuti maarifa wanakimbiloa uchawa..fikiria mtu ana lalamikia kitabu kinachomjadili kiongozi fulani bila hata kukosoma? Ukimuliza atakwambia ana masters ni viroja juu ya viroja. Yaani ukimprnda mtu asiandikwe au anayetoa opinion tofauti na wewe unamtukana! Hiyo ndiyo Tanzania
Ata wewe unalitia taifa hasara kwa kukimbia kodiHuyu mama analitia taifa hasara
Kivipi?Huyu mama analitia taifa hasara
Tatizo la wachangiaji wengi wa JF kwa sasa wana umri mdogo.John Malecela sio mtu mdogo Tz
Mbali na hicho ulishawahi kusoma kipi?Mbona kama una ghubu? Kwani lazima tusome kitabu chako kilichokudodea!!!! Kitunze au uwape ndugu zako wakisome.....usitulaumu kwa ugomvi wenu
Waziri mkuu mstaafu Malecela. Aliyekufa ni mwanae...Malecela. Unategemea hilo liwe la ajabu?Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma.
Ndege hiyo itabeba watu takribani 70 ikiwa ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kuwatoa Dar na kuwapeleka Dodoma kwa ajili ya mazishi.
Makamu wa Rais na Waziri mkuu mstaafu!Waziri mkuu mstaafu Malecela. Aliyekufa ni mwanae...Malecela. Unategemea hilo liwe la ajabu?