Rais Samia atoa pole kufuatia mauaji Daraja la Salender, ataka uchunguzi ufanyike

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Poleni wafiwa. Naamini askari wetu hasa wenye silaha wamepata funzo kuwa makini wanapokuwa lindoni au doria kuwa silaha zao ni moja ya nyara inayohitajiwa na wahalifu.
 
Eti huko nimekutana na kadi ya Huyo Gaidi kua ni mwamachama wa CHADEMA sijui ni real au edit
 
Rais Samia una kazi sana Mama yangu. Serikali yako inapitia mambo mengi kwa kipindi kifupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…